Kwa mujibu wa tovuti ya dent,ksu.edu.sa mashindano hayo yamepangwa kufanyika tarehe 24 Mei kuanzia saa tano na nusu mchana.
wa chuo hicho wamekuwa wakiwatayarisha wanachuo wanaotazamiwa kushiriki kwenye mashindano hayo kwa kuwapa mafunzo na maelekezo maalumu kuhusiana na hifdhi ya Qur'ani Tukufu.
Washiriki wa mashindano hayo watachuana katika hifdhi ya sura mbili za Yasin na ar-Rahman. 785134