Hamid Reza Hajibabai ameyasema hayo mjini Tehran katika Haram ya Imam Khomeini MA katika kikao kilichohudhuriwa na waalimu wa kikosi cha wanajeshi wa kujitolea, Baseeji, waliokuwa wamefika eneo hilo kutangaza kufungamana kwao na malengo ya mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Hafla hiyo ilifanyika Jumatatu Mei 2 kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi Ayatullah Murtadha Mutahhari. Siku hiyo huadhimishwa kama Siku ya Waalimu nchini Iran.
Waziri wa Elimu wa Iran amesema 'sifa moja kubwa ya Uislamu ni kuwa viongozi wetu wote walikuwa waalimu'.
785336