Kikao hicho kitasimamiwa na Baraza la Haki za Wanawake Waislamu Barani Ulaya na kitahudhuriwa na wanazuoni mashuhuri wa Kiislamu nchini Ufaransa.
Miongoni mwa mambo yatakayojadiliwa ni pamoja na mchango wa mwanamke katika historia ya Uislamu, kuolewa wanawake katika mtazamo wa mafundisho ya Uislamu, ndoa za kulazimishwa na msimamo wa dini ya Kiislamu kuhusu maudhui hiyo, wajibu wa mwanamke na mwanamume katika mafundisho ya Kiislamu na masharti ya ndoa za mitara katika mtazamo wa Qur'ani. 790123