Maelfu ya Walebanoni leo Jumapili wanapanga kufanya maandamano makubwa katika miji tofauti ya nchi hiyo kwa mnasaba wa kuwadia mwaka wa 63 wa kukumbukwa Siku ya Nakama ambayo ni siku ya kubuniwa rasmi utawala haramu wa Israel uliopora na kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.