Walioalikwa kushiriki katika maonyesho hayo ni wafanya biashara wa Russia na kimataifa ambao wanazalisha vyakula kama vile, bidhaa za kitiba, marashi au manukato, vipodozi na vilevile wanaotoa huduma za utalii, kifedha, kibenki, uwekezaji na uchapishaji.
Bidhaa au huduma katika maonyesho hayo huwa tayari zimepata cheti cha Kiislamu cha 'Halal'.
Maonyesho hayo ni fursa kwa washiriki kubadilishana mawazo kuhusu sekta ya bidhaa na huduma halali duniani.
793768