Shirika la habari la Malaysia Bernama limeripoti kuwa habari hiyo imetangazwa na Naibu Waziri wa Masuala ya Kiislamu wa nchi hiyo Daud Abdul Rahman ambaye ameongeza kuwa Waziri Mkuu wa Malaysia Najib Tun Abdul Razaq ndiye atakayefungua rasmi mashindano hayo.
Sherehe za ufunguzi wa mashindano hayo pia zitahudhuriwa na Waziri Mkuu wa jimbo la Sarawak Abang Muhammad Salahuddin. 797114