Ali Larijani amehifadhi kiti chake baada ya kukosekana mpinzani huku wabunge 212 kati ya 244 wakimuidhinisha kuendelea kushikilia cheo hicho. Dakta Ali Larijani amechaguliwa spika kwa mara ya nne mfululizo.
Mohammad-Reza Bahonar amechaguliwa kuwa Naibu wa Kwanza wa Spika huku Shahabuddin Sadr akichaguliwa kuwa Naibu wa Pili wa Spika. Huu ndio mwaka wa mwisho wa bunge la nane hapa nchini Iran.
798179