Kituo cha bahari cha Leprogres kimeripoti kuwa afisa mmoja wa Idara ya Polisi ya mji wa Champagnole amesema vijana hao watano walishambulia msikiti kwa shabaha ya kujitangaza. Amesema vijana hao huvaa misalaba na alama za manazi vifuani mwao kwa nia ya kujitangaza na kwamba baada ya kushambulia msikiti huo walichora alama hizo kwenye kuta zake.
Vijana hao watano wanakabiliwa na kesi ya kushambulia msikiti wa mji wa Champagnole tarehe 16 Mei mwaka huu na kuchora alama za msalaba kwenye kuta zake. 804650