Mashindano hayo yanaandaliwa na kitengo cha itikadi cha Kituo cha Jeshi la Wanamaji la Rasht.
Pamoja na wafanyakazi wa kike na familia zao.
Mashindano hayo yatafanyika katika vitengo vya kiraa, hifdhi ya baadhi ya juzuu na Qur’ani nzima.
Mashindano hayo ni sehemu ya tamasha ya Qur’ani na michezo.
Washindani watatangazwa Ijumaa Julai nane na watafuzu kushiriki katika Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. 818083