IQNA

Mashindano ya Qur’ani ya wanawake katika Jeshi la Wanamaji la Iran

17:11 - July 02, 2011
Habari ID: 2147186
Mashindano ya 11 ya Kitaifa ya Qu’rani maalumu kwa ajili ya wafanyakazi wa kike katika Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yanaanza Julai pili katika mji wa kaskazini mwa Iran wa Rasht.
Mashindano hayo yanaandaliwa na kitengo cha itikadi cha Kituo cha Jeshi la Wanamaji la Rasht.
Pamoja na wafanyakazi wa kike na familia zao.
Mashindano hayo yatafanyika katika vitengo vya kiraa, hifdhi ya baadhi ya juzuu na Qur’ani nzima.
Mashindano hayo ni sehemu ya tamasha ya Qur’ani na michezo.
Washindani watatangazwa Ijumaa Julai nane na watafuzu kushiriki katika Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. 818083
captcha