IQNA

Taasisi ya Kuhifadhi Qur'ani yaanzishwa Dubai

22:25 - July 06, 2011
2
Habari ID: 2150267
Taasisi ya Al Abduli ya Kuhifadhisha Qur'ani imeanzishwa kwa lengo la kustawisha ufundishaji Qur'ani Tukufu huko Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Kwa mujibu wa Dr. Hamad Bin Ali Sheikh Ahmad Al Sheibani, Mkurugenzi wa Idara Masuala ya Kiislamu na Utoaji Misaada ya Dubai amesema kuwa taasisi hiyo itatoa huduma maalumu katika uga wa Qur'ani na kuhifadhi Qur'ani.
Taasisi hiyo imefadhiliwa na Abdullah Al Abduli na inatoa huduma zake bila malipo.
Salah Abdurrahman Al Makhit ambaye anasimamia masuala ya Kiislamu katika Idara Masuala ya Kiislamu na Utoaji Misaada amesema idhini ya kuanzishwa taasisi hiyo imetolewa baada ya mfadhili wake kukutana na maafisa wa idara hiyo.
820502
Imechapishwa: 2
Inatathminiwa: 0
Haiwezi kuchapishwa: 0
Shehe khamis shehe
0
0
Ninaomba nafasi kwa ajili ya mtoto wangu
Ajmal shehe khamis
0
0
Ninataka kuhifadhi qur ani
captcha