Ripoti zinasema kuwa al Hamid aliwasili nchini Niger Jumapili iliyopita akiwa pamoja na binamu yake diketa mtoro wa Libya Muammar Gaddafi Mansur Dho pamoja na washauri na wasaidizi wengine wa dkteta huyo. Hata hivyo inaonekana kuwa baadaye al Hamidi alielekea Tunisia na kutiwa nguvuni wakati anajaribu kuondoka tena nchini humo. 856977