Hisham Abu Hijr amesema dikteta mtoro wa Libya amejificha katika mji wa Gadamis akilindwa na watu wa kabila la Touareg.
Amesema mji huo uko magharibi mwa Libya na kwamba Gaddafi anajificha katika watu wa kabila hilo.
Ni vyema kukumbusha hapa kuwa baada ya kushindwa na wanamapinduzi wa Libya, Muammar Gaddafi sasa anapoteza udhibiti hata wa ngome zake kuu kama mji wa Sirte na Bani Walid. 869358