IQNA

Siku Kuu ya Idd Ghadir kuadhimisha Ivory Coast

17:59 - November 14, 2011
Habari ID: 2222727
Kwa munasaba wa Siku Kuu ya Ghadir, sherehe zitafanyika Novemba 18 huko mjini Abidjan nchini Ivory Coast.
Sherehe hizo hizo zitafanyika katika Taasisi ya Al Zahra SA katika eneo huko Markuri. Sherehe nyingine maalumu kwa ajili ya wanawake imepangwa kufanyika Novemba 19 katika taasisi hiyo.
Aidha wanafunzi bora wa Kituo cha Utamaduni cha Imam Sadiq AS wataenziwa katika sherehe iliyoandaliwa kwa mnasaba huo.
898391
captcha