Kongamano hilo litafanyika Machi 23-25 mwaka huu kwa ushirikiano wa Chuo Kikuu cha Huron na Chuo Kikuu cha Kings Canada.
Kongamano hilo litachunguza muelekeo wa demokrasia katika nchi zenye Waislamu wengi duniani. Aidha washiriki watajadili mtazamo wa Uislamu kuhusu siasa. Mada zingine zitakazojadiliwa ni, 'Uislamu, Demokrasia na Nadhari ya Kisiasa, Uislamu, Demokrasia na Mfumo wa Katiba, Uislamu, Demokrasia na Siasa za Kisasa, Uislamu na Demokrasia na Utamaduni wa Kisiasa.
958379