Kwa mujibu wa tovuti ya fundsforngos, kongamnao hilo litafanyika tarehe 24 hadi 26 za mwezi Machi ujao kwa madhumuni ya kuchunguza suala la demokrasia katika nchi za Kiislamu na uwiyano wa Uislamu na demokarsia.
Wataalamu wa masuala ya sheria, wanahistoria, wanasiasa, wanafalsafa, wataalamu wa masuala ya kijamii na wahadhiri wa taaluma mbalimbali katika vyuo vikuu muhimu vya dunia watashiriki katika kikao hicho cha siku tatu.
Kikoa hicho kitajadili masuala tofauti yanayohusiana na suala la Uislamu katika maisha ya Mwislamu wa leo. 958388