Vilevile waandamanaji hao wamelaani vikali uchapishwaji vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume SAW huko Ufaransa.
Siku ya Jumamosi ya jana maandamano makubwa yalishuhudiwa Pakistan, Bangladesh na Iran.
Waandamanaji waliokuwa na hasira walisikika wakipiga nara za "Mauti kwa Marekani" na "Mauti kwa Israel".
Waandamanaji katika nchi hizo wamesema, uhuru wa maoni haupaswi kutumiwa kama kisingizio cha kuyavunjia heshima matukufu ya Kiislamu. Aidha wametaka Marekani iombe msamaha kufuatia utengenezwaji wa filamu hiyo ambayo ilifadhiliwa na Wazayuni.
1110023