
Waimarati hutumia fursa yaya Baraka za mwezi Mtukufu wa Ramadhani kujumuika pamoja. Lakini mwaka huu hali imebadilika kutokana na kuenea ugonjwa wa COVID-19 ambapo imekuwa vigumu kutekelza baadhi ya ibada, mila na desturi za mwezi huu mtukufu.
Zenye maoni mengi zaidi