IQNA

21:55 - April 13, 2021
News ID: 3473809
TEHRAN (IQNA)- Wasomaji Qur’ani Tukufu kutoka Algeria ni miongoni mwa bora zaidi duniani.

Vikao  vya kusoma Qur’ani Tukufu hufanyika mara kwa mara katika nchi hiyo ya Afrika kaskazini.

Klipu tuliyowaandalia leo ni ya qiraa za Qur’ani Tukufu za wasomaji maarufu wa Algeria wakiwemo Abdul Hakim al-Jazaeri, Farouq al-Mahi, Tawfiq bin Shaaban, Murad Sabati, Lahassan Aliq, Yaseen al-Jazaeri, Hisameddin Ibadi, Yaseen Barakani, Yaseen Zaidani, na Saeed Dabah.

3964136

Tags: algeria ، qiraa
Name:
Email:
* Comment:
* captcha: