IQNA

15:46 - September 02, 2021
Habari ID: 3474251

Qiraa ya Qur'ani Tukufu ya Qarii wa Algeria + Video

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Murad Sabati ni qarii maarufu wa Qur'ani Tukufu nchini Algeria ambaye ana sauti nzuri.

Qiraa ya Qur'ani Tukufu ya Qarii wa Algeria + Video

Sheikh Sabati ambaye ni mwalimu wa Qur'ani karibuni na mji mkuu, Algiers, amefanikiwa kushiriki katika mashindnai ya kitaifa na kimataifa na kupata zawadi kadhaa.

Qarii huyu maarufu aliiwakilisha Algeria katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran mwaka jana.  Ifuatayo hapa chini ni klipi yake ya qiraa ya Tarteel ya Qurani Tukufu ambapo anasema aya za 30 hadi 41 za Sura al Anbiya.

3994284

captcha