iqna

IQNA

algeria
Mashindano ya Qur'ani Algeria
IQNA - Rais wa Algeria ameamuru kuongezwa kwa zawadi za fedha zinazotolewa kwa washindi wa mashindano ya Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3478682    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/14

Diplomasia ya Kiislamu
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza utayarifu wake wa kupanua uhusiano wa kiutamaduni kati ya Iran na Algeria kwa kuzingatia misikiti kama msingi na katika mwelekeo wa kuongeza maarifa, sayansi na kujenga umoja na mafungamano katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3478444    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/03

Turathi
IQNA- Msikiti mkubwa zaidi barani Afrika, unaochukua waumini 120,000, umefunguliwa nchini Algeria siku ya Jumapili.
Habari ID: 3478418    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/26

Mashindano ya Qur'ani
Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Algeria watunukiwa IQNA –Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Algeria yalihitimishwa siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3478330    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/10

Mtazamo
IQNA - Imam Khomeini (MA) alitilia mkazo hadhi ya juu ya wanawake katika Uislamu na alizingatia sana haki zao, mwanazuoni wa Algeria amesema.
Habari ID: 3478322    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/09

Harakati za Qur'ani
IQNA - Wawakilishi kutoka zaidi ya nchi 40 wanashiriki katika mashindano ya 19 ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Algeria.
Habari ID: 3478307    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/05

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Duru ya awali ya Mashindano ya 19 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Algeria ilianza katika mji mkuu wa nchi hiyo siku ya Jumapili.
Habari ID: 3478240    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/23

IQNA- IQNA – Qari Kijana wa Algeria Abdul Aziz Sahim ameshiriki usomaji wake wa hivi majuzi wa aya kutoka kwenye Surah Al-Baqarah.
Habari ID: 3478221    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/20

Milad un Nabii
ALGIERS (IQNA) - Waziri Wakfu na Masuala Kidini wa Algeria katika kikao na wasimamizi wa wizara hiyo walijadili kufanya sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) yaani Maulidi au Milad un Nabii.
Habari ID: 3477658    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/26

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Baada ya maandamano makubwa ya wananchi wa Libya kulaani kikao cha Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel, Waziri Mkuu wa Libya amesema: Tripoli inaunga mkono suala la ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3477534    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/01

Diplomasia
ALGIERS (IQNA)- Naibu Spika wa Bunge la Algeria amesisitiza kuwa, taifa hilo la kaskazini mwa Afrika halitafuata mkumbo wa nchi nyingine za Kiarabu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel, akisisitiza kuwa Wa algeria wanautazama utawala huo kuwa wa kikoloni.
Habari ID: 3477450    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/17

TEHRAN (IQNA) – Abdul Aziz Sahim ni qari kijana na mwenye kipaji ambaye amepata kutambuliwa nchini Algeria.
Habari ID: 3476984    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/11

Taazia
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Ali al-Qassimi, mwandishi maarufu wa Qur’ani nchini Algeria, amefariki dunia.
Habari ID: 3476973    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/08

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Masuala ya Kidini wa Algeria amesema baadhi ya wanafunzi milioni moja wamejiandikisha kwa ajili ya kozi za Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3476961    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/05

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Gereza moja katika mji mkuu wa Algeria, Algiers limewaenzi wafungwa 150 ambao waliweza kuhifadhi Quran Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3476907    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/24

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa Shindano la 18 la Kimataifa la Kuhifadhi Qur'ani Tukufu Algeria wametunukiwa zawadi katika hafla iliyofanyika Jumamosi.
Habari ID: 3476583    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/19

Qiraa bora
TEHRAN (IQNA) – Muhammad Irshad Murabaei ni qari mwenye ulemavu wa macho nchini Algeria ambaye pia ni imamu wa sala nchini humo.
Habari ID: 3476393    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/12

Harakati za Qur'ani Algeria
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu na masuala ya Kiislamu ya Algeria imetangaza kuzindua duru ya awali ya mashindano ya kitaifa ya Qur'ani.
Habari ID: 3476218    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/08

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Algeria imewazawadia safari Umrah kwa wanafunzi 168 wa vyuo vikuu ambao wamefanikiwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu..
Habari ID: 3476162    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 24 la Wiki ya Kitaifa ya Qur’ani limezinduliwa nchini Algeria katika sherehe siku ya Jumanne.
Habari ID: 3475953    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/19