IQNA

Qarii wa Iran akisoma Qur'ani Izmir, Uturuki + Video

11:54 - April 25, 2022
Habari ID: 3475166
TEHRAN (IQNA) –Klipu ya Qarii maarufu wa kimataifa wa Iran Utadh Rahim Khaki akisoma Qur'ani Tukufu katika mji wa Izmir, Uturuki imesambazwa katika mitandao ya kijamii.

Katika klipu hiyo ambayo imesambazwa katika ukurasa wa Instagram, Ustadh Khaki anasoma aya za Surah Ibrahim katika Qur'ani Tukufu.

 

Jina:
Baruapepe:
* maoni:
* :