IQNA

Mwezi wa Ramadhani

Aya za Kila Siku: Qur'ani Tukufu inabainisha kila kitu

11:50 - April 03, 2023
Habari ID: 3476805
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inatoa ufafanuzi wa mambo yote, kwa mujibu wa aya ya 89 ya Surah An-Nahl.

 Na (waonye) siku tutakapo wainua mashahidi katika kila umma wakiwashuhudia kwa yanayo tokana na wao, na tutakuleta wewe uwe shahidi juu ya hao. Na tumekuteremshia Kitabu hiki kinacho bainisha kila kitu, na ni uwongofu,na rehema, na bishara kwa Waislamu.

Kishikizo: aya za kila siku
captcha