IQNA – Ifuatayo ni qiraa ya tartili ya Juzuu ya 28 ya Qur’ani Tukufu, ambayo imesomwa na qari mashuhuri wa Iran, Ustadh Qassem Moqaddami. Jiungeni na IQNA kila siku katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu, kwa lengo la kukamilisha au kuhitimisha usomaji wa Qur’ani nzima ifikapo mwisho wa mwezi huu uliobarikiwa.