IQNA – Suleiman Ashirlayev, msanii wa khatt kutoka Jamhuri ya Dagestan katika Shirikisho la Urusi, ameandika Qur’ani Tukufu nzima kwa maandishi ya Thuluth katika tajiriba aliyoiita ya kiroho.
Habari ID: 3482344 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/09
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha kuhifadhi Qur'ani Tukufu maalumu kwa watu wenye ulemavu wa macho kimefunguliwa nchini Russia katika eneo la Dagestan mapema wiki hii.
Habari ID: 3472138 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/19