TEHRAN (IQNA) - Mwakilishi maalumu wa Marekani katika masuala ya Iran ametoa matamshi ambayo yanashiria utambulisho wa kigaidi wa serikali ya Washington ambapo amezungumza kuhusu kumuua kamanda aliyechukua nafasi ya kamanda Muirani Shahidi Luteni Jenerali Qasem  Soleimani .
                Habari ID: 3472399               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/01/23
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limekosoa ujumbe wa Twitter wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo wenye kukejeli Uislamu na Waislamu  na kusema ujumbe huo unaweza kuhatarisha maisha ya Wamarekani Waislamu na Masingasinga.
                Habari ID: 3472370               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/01/14
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) -Baraza la Wawakilishi la Marekani limepitisha muswada wa kupunguza mamlaka ya rais wa nchi hiyo Donald Trump katika masuala ya vita.
                Habari ID: 3472360               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/01/10
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa anataraji kwamba Wamarekani watahitimisha hatua zao ghalati, lakini iwapo watatekeleza hatua nyingine iliyo dhidi ya maslahi ya Iran, basi watapata jibu kali mkabala.
                Habari ID: 3472359               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/01/10
            
                        Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
        
        TEHRAN (IQNA) - Katibu wa sala ya Ijumaa mjini Tehran amemtaja shahidi Jenerali Qassem  Soleimani , Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kuwa ni mratibu wa usalama na amani endelevu kupitia mapambano (muqawama).
                Habari ID: 3472358               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/01/10
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) – Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limetoa ushauri kwa Wairani-Wamarekani (Wairani wenye uraia wa Marekani) baada ya kubainika kuwa wanasumbuliwa na kubaguliwa na maafisa wa usalama kufuatia matukio ya hivi karibuni katika eneo la Asia Magharibi.
                Habari ID: 3472349               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/01/07
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) – Shahidi Luteni Jenerali Qassim  Soleimani  amezikwa kwa kuchelewa kufuatia msongamano mkubwa  katika mji wa Kerman kusini mashariki mwa Iran.
                Habari ID: 3472347               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/01/07
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini kimetoa taarifa rasmi na kulaani hujuma ya Jeshi la Markeani ambayo ilipelekea kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem  Soleimani , Kamanda wa Kikosi cha Qods cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC)
                Habari ID: 3472346               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/01/06
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Mashia wa Iraq, Ayatullah Sayyed Ali al-Sistani amemtumia risala ya rambirambi Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei kufuatia kuuawa shahidi kamanda wa Kikosi  cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Liteni Jenerali Qassem  Soleimani .
                Habari ID: 3472338               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/01/05
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) - Mwili mtoharifu wa Shahidi Luteni Jenerali Haj Qassem  Soleimani , Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) umewasili katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo asubuhi katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Ahwaz kusini mwa nchi.
                Habari ID: 3472336               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/01/05