iqna

IQNA

Soleimani
Kumbukizi ya Shahidi Soleimani
TEHRAN (IQNA) – Mwanachama mwandamizi wa harakati ya muqawama au mapambano ya Palestina, Jihad Islami, amesema shahidi Qassem Soleimani aliweza kutoa motisha kwa wapiganaji wote wa harakati za mapamano.
Habari ID: 3476351    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/03

Mashahidi wa Muqawama
TEHRAN (IQNA) - Makamanda wa muqawama Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis walizuia njama za nchi za Magharibi dhidi ya Umma wa Kiislamu, kiongozi mkuu wa Kisunni wa Iraq alisema.
Habari ID: 3476342    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/01

Mashahidi wa Muqawama
TEHRAN (IQNA) – Hauli imefanyika mjini Tiro nchini Lebanon kwa ajili ya makamanda wa muqawama mashahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis.
Habari ID: 3476341    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/01

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameitaja tarehe 9 Dei (30 Disemba) kuwa, muhuishaji wa dini kwa baraka za mahudhurio ya wananchi ambao walisambaratisha njama za maadui na kulirejeshea taifa hili utulivu uliokuwa umetoweka.
Habari ID: 3476332    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/30

Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kislamu ya Iran amesema Iran ni mhanga wa ugaidi na amelitaka Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kufuatilia jinai ya kigaidi ya kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani , aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
Habari ID: 3475821    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/22

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesema maadui walidhani kuuawa shahidi kamanda shujaa katika vita dhidi ya ugaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimaini kungekuwa tishio kwa Iran lakini watu wa Iran wamegeuza tukio hilo kuwa fursa kutokana na imani yao ya kidini.
Habari ID: 3474784    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/09

Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema kuwa: Kambi iliyoasisiwa na shujaa Shahidi Qasem Soleimani katika vita vikali dhidi ya batili itawaangamiza kabisa Wamarekani na mamluki wao katika eneo hili la Magharibi mwa Asia.
Habari ID: 3474777    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/07

Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu imetangaza kuwa, kutimuliwa utawala wa Marekani katika eneo nyeti la Asia Magharibi ni jibu kwa ujuha na ujinga wa adui katika kumuua Luteni Jenerali Qassem Soleimani .
Habari ID: 3474776    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/07

TEHRAN (IQNA)- Rais Barham Salih wa Iraq amesema mashahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis walikuwa na nafasi muhimu sana katika vita dhidi ya magaidi nchini humo hasa magaidi wa ISIS au Daesh.
Habari ID: 3474769    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05

Sayyid Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kitendo cha kupuuza uwepo wa vikosi vamizi vya Marekani nchini Iraq, ni sawa na kuuawa shahidi kwa mara ya pili Luteni Jenerali Qasem Soleimani , aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3474763    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/04

Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran amesema kuwa Serikali, Idara ya Mahakama na Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran zinapasa kutumia vyombo vyote vya kisheria kwa ajili ya kuwafuatilia wahusika wa mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qasem Soleimani .
Habari ID: 3474760    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/03

Afisa wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu Iran
TEHRAN (IQNA)- Naibu Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran katika Masuala ya Kimataifa ameitaja hatua ya Marekani ya kumuua kigaidi Kamanda Qasem Soleimani kuwa ni sawa na mauaji ya haki za binadamu duniani.
Habari ID: 3474757    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/02

TEHRAN (IQNA)-Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza wamepamba mitaa yao kwa mabango makubwa ya Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani .
Habari ID: 3474755    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/02

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani , aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), ndiye shakhsia mkubwa zaidi si tu ndani ya Iran, bali katika Umma wote wa Kiislamu.
Habari ID: 3474753    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/01

Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema wale walote waliotekeleza mauaji ya kigaidi dhidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani hatimaye wataadhibiwa.
Habari ID: 3474748    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/31

TEHRAN (IQNA)- Kundi la vyama vya siasa na asasi za kiraia nchini Tunisia zimefanya kongamano kwa mnasaba wa mwaka wa pili wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani , Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq cha Hashd al Sha'abi.
Habari ID: 3474743    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/30

TEHRAN (IQNA)- Rais Nicholas Maduro wa Venezuela amesema jamii ya kimataifa inapaswa kulaani vikali mauaji ya kigaidi ya mwaka 2020 ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani wa Iran ambaye alikuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi.
Habari ID: 3474738    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/29

#for_martyrs' sake
TEHRAN (IQNA)- Kampeni ya Kimataifa ya kusoma Qur'ani Tukufu kwa munasaba wa mwaka wa pili tokea auawe shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani imezinduliwa.
Habari ID: 3474735    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28

TEHRAN (IQNA)- Ikiwa imesalia siku chache kabla ya kumbukumbu kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Solemani, mchoro mkubwa wa kamanda huyo na wanajihadi wenzake waliouawa shahidi umepandisha katika barabara kuu inayolekea uwanja wa ndege wa Beirut nchini Lebanon.
Habari ID: 3474725    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/26

TEHRAN (IQNA) – Msomi mmoja wa Algeria amesisitiza kuwa wale waliomuua Luteni Jenerali Qassim Soleimani lazima wafikishwe kizimbani.
Habari ID: 3474713    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/23