Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
TEHRAN (IQNA) – Kufuatia kifo cha Faqihi mashuhuri wa madhehebu ya Shia Ayatullah Mohammad Sadeq Rouhani, Marjaa Taqlid wa Iraq Ayatullah Seyed Ali al-Sistani alitoa ujumbe wa rambirambi siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3476262 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/17
TEHRAN (IQNA)- Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amemwandikia barua Ayatullah Ali Sistani kiongozi wa juu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq kumpongeza na kumshukuru kwa misimamo yake ya kuitetea na kuihami Palestina katika mkutano wake na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.
Habari ID: 3473733 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/14
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameitembelea Iraq katika safari ya kihistoria ambayo pia ni safari yake ya kwanza ya kimataifa tangu kuibuka janga la COVID-19.
Habari ID: 3473708 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/06
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Kiislamu nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani amekutana na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ambapo katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3473707 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/06
TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali hatua ya gazeti moja linalomilikiwa na Saudia kuchora katuni inayomvunjia heshima kiongozi wa juu wa kidini wa nchini Iraq Ayatullah Sayyed Ali Al-Sistani.
Habari ID: 3472931 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/05
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni wa ngazi za juu kabisa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Sayyid Ali al-Sistani amesema madaktari na wauguzi ambao wanawatibu wagonjwa wa COVID-19 au kirusi cha corona na kisha wanapoteza maisha baada ya kuambukizwa kirusi hicho wakiwa kazini watahesabiwa kuwa ni mashahidi.
Habari ID: 3472576 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/17