IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshukuru na kuthamini misimamo ya msingi ya wanazuoni wakuu wa kidini na wananchi wa Iraq.
Habari ID: 3482104 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/30
IQNA – Mwanazuoni mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Sayyid Ali al‑Sistani, amelaani kwa maneno makali vita vinavyoendeshwa hivi sasa na Marekani na Israel dhidi ya Iran na Lebanon, na amewataka Waislamu wote pamoja na watu huru duniani kuvipinga na kuvikemea.
Habari ID: 3482080 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/22
IQNA – Ofisi ya mwanazuoni mkuu wa Kishia nchini Iraq, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali al‑Sistani, imetuma ujumbe wa kumtakia mafanikio Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei.
Habari ID: 3482048 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/12
IQNA – Ofisi ya kiongozi mkuu wa Kishia nchini Iraq, Ayatullah Mkuu Ali al-Sistani, imetangaza kuwa hairuhusiwi kufanya ibada za maombolezo kwa mke wake marehemu nje ya mji wa Najaf au katika mikoa mingine ya Iraq.
Habari ID: 3481312 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/01
IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ametuma ujumbe wa rambirambi kwa kiongozi mkuu wa Kishia nchini Iraq, Ayatullah Ali al-Sistani, kufuatia kifo cha mke wake mpendwa.
Habari ID: 3481306 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/30
IQNA – Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiiraqi ya Asaib Ahl Al-Haq, Sheikh Qais Al-Khazali, amesisitiza kuwa kulinda na kuendeleza Hashd al-Sha’abi (Vikosi vya Kujitolea vya Wananchi– PMU) ni takwa la watu wote wa Iraq.
Habari ID: 3481167 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/01
IQNA – Ayatullah Ali al-Sistani amewataka wafanyaziyara wa Arbaeen kudumisha swala kwa wakati, ikhlasi ya moyo na na mavazi ya heshima na yenye staha katika safari yao tukufu: nguzo kuu ambazo amesema ndizo zenye kuhakikisha kukubaliwa kiroho na kupata thawabu za kudumu.
Habari ID: 3481075 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/12
IQNA – Ofisi ya kiongozi mkuu wa Kishia nchini Iraq, Ayatullah Ali al-Sistani, imetoa tamko la kuzuia taasisi za kisiasa na za huduma kutumia picha yake katika maeneo ya wazi, hasa wakati wa hija ya Arbaeen inayokaribia.
Habari ID: 3481037 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/04
IQNA-Kiongozi mkuu Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Sayyid Ali al-Sistani, ameelezea masikitiko yake makubwa kuhusu hali ya kibinadamu inayoendelea kuzorota katika Ukanda wa Gaza, hususan baa la njaa linalozidi kushika kasi, na kutoa wito kwa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu kuchukua hatua za haraka kukomesha janga hili la kusikitisha.
Habari ID: 3481002 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/26
IQNA – Ayatullah Mkuu Sayyid Ali al-Sistani, kiongozi wa juu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, ametuma salamu za rambi rambi kwa familia za wahanga wa tukio la moto mkubwa uliotokea katika jumba la biashara mjini Kut.
Habari ID: 3480962 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/18
IQNA-Kiongozi Mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq amelaani vikali uchokozi wa hivi karibuni wa utawala wa Israel dhidi ya Iran, na ameihimiza jamii ya kimataifa kuzuia mashine ya vita ya utawala huo wa Kizayuni.
Habari ID: 3480830 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/13
IQNA – Khatibu wa Swala ya Ijumaa jijini Baghdad amesisitiza umuhimu wa kuwachukulia hatua kali waliotekeleza shambulizi dhidi ya ofisi ya Ayatullah Ali Sistani mjini Damascus, mji mkuu wa Syria.
Habari ID: 3480801 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/07
IQNA – Kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Sistani , amesisitiza umuhimu wa kuendeleza shughuli za hisani kwa moyo wa kujitolea.
Habari ID: 3480725 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/23
IQNA- Kiongozi Mkuu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani amesema, Papa Francis alikuwa na hadhi ya juu kiroho mbele ya mataifa mengi kutokana na mchango wake wa kipekee katika kuhimiza amani na kuvumiliana pamoja na kuonyesha mshikamano na watu wanaodhulumiwa duniani.
Habari ID: 3480579 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/22
IQNA – Ofisi ya Ayatullah Ali al-Sistani, kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, imetoa ujumbe rasmi wa rambirambi kufuatia kifo cha mwanazuoni wa kidini wa Kashmiri, Allama Aga Syed Mohammad Baqir al-Moosavi al-Najafi.
Habari ID: 3480564 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/19
IQNA – Ofisi ya kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Ali al-Sistani, imetangaza Jumapili, Machi 2, kuwa siku ya kwanza ya Ramadhani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3480281 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/01
IQNA - Ofisi ya kiongozi mkuu au Marjaa Taqlid wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Ali al-Sistani, imetoa taarifa kuhusu kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3480244 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/20
Jinai za Israel
IQNA-Marja' wa ngazi ya juu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq ameeleza masikitiko yake kuhusu kushindwa jamii ya kimataifa na taasisi husika katika kuzuia jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina na Lebanon.
Habari ID: 3479703 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05
Jinai za Israel
IQNA - Imamu wa Swala ya Ijumaa ya Baghdad amelaani kitisho cha utawala huo wa Israel cha kumuua mwanazuoni wa ngazi za juu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Ali al-Sistani na kusema maelfu ya vijana wa Kiislamu Iraq wako tayari kuingia vitani kupambana na utawala huo wa Kizayuni na kuzima njama zake.
Habari ID: 3479587 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13
Jini za Israel
IQNA-Serikali ya Iraq imelaani vikali njama ya utawala haramu wa Israel ya kutaka kumuua kiongozi mkuu wa Kiislamu nchini humo Ayatullah Sayyid Ali Sistani.
Habari ID: 3479567 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/09