iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Misikiti kote Misri inafunguliwa tena kuanzia Juni 27 lakini kwa kuzingatia masharti makali ya kiafya ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472901    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/26

TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Australia wameingia na hofu ya kuenea chuki dhidi ya Uislamu baada ya ripoti mpya kubaini kuwa maambukizi mapya ya COVID-19 mjini Melbourne yalianzia katika mjumuiko wa kifamilia wa sherehe za Idul Fitr.
Habari ID: 3472896    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/25

TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Shirika la Hija na Ziyara la Iran amesema wairani ambao walikuwa wamejisajili kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu watahiji mwakani, Inshallah, baada ya Saudia kutangaza kufuta ibada ya Hija mwaka huu kwa wasafiri wa kimataifa.
Habari ID: 3472894    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/24

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia imetangaza kuwa hata baada ya amri ya kutotoka nje kufutwa kitaifa lakini marufuku ya Ibada ya Umrah itaendelea kutekelezwa.
Habari ID: 3472885    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/21

TEHRAN (IQNA)- Mpango wa kila mwaka wa kuwaalika wasiokuwa Waislamu kutembelea misikiti nchini Uingereza mwaka huu umefutwa kutokana na kuibuka ugonjwa wa COVID-19 lakini pamoja na hayo kumezinduliwa mpango wa kutembelea misikiti kupitia intaneti.
Habari ID: 3472877    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/18