iqna

IQNA

covid 19
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu Algeria imetoa wito wa kufunguliwa tena madrassah za Qur’ani nchini humo kwa kuzingatia kanuni za kiafya katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473472    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/19

Kufuatia kuongezeka maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona katika Mji wa Ghaza, wakuu wa eneo hilo la Palestina wanatekeleza hatua kali za kudhibiti maambukizi.
Habari ID: 3473460    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/15

TEHRAN (IQNA) – Misikiti mitano nchini Singapore itaruhusiwa kuwa na waumini 250 kila moja kwa ajili ya swala ya Ijumaa kuanzia wiki hii.
Habari ID: 3473437    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/08

TEHRAN (IQNA) - Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu janga la COVID-19 kusambaratisha mfumo wa afya katika eneo la Palestina la Ghaza, ambalo limezingirwa kinyama na Israel.
Habari ID: 3473389    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/24

TEHRAN (IQNA) - Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu kueneza zaidi ugonjwa wa COVID-19 duniani.
Habari ID: 3473333    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/06

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Indonesia imeanzisha jitihada za kuhakikisha chanjo COVID-19 itakayotumika nchini humo ni Halali, yaani haitakuwa na mada ambazo ni kinyume cha mafundisho ya Uislamu.
Habari ID: 3473253    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/12

TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia imesema itawaruhusu Waislamu walioko nchini humo kutekeleza Ibada ya Umrah kuanzia Oktoba Nne.
Habari ID: 3473197    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/23

TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa Jamia katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi umefunguliwa baada kufungwa kwa miezi mitano kufuatia kuibuka janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473087    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/20

TEHRAN (IQNA) – Harakati za Hizbullah na Amal nchini Lebanon zimetoa wito kwa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo kufanya maombolezo ya Imam Hussein AS katika Mwezi wa Muharram mwaka huu majumbani.
Habari ID: 3473057    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/11

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Algeria imesema misikiti 4,000 nchini humo iko tayari kufunguliwa baada ya kutimiza masharti yanayotakiwa katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473053    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/10

TEHRAN (IQNA)- Misikiti katika Umoja wa Falme za Kiarbau (UAE) itaruhusiwa kuwa na asilimia 50 ya idadi ya wanaoweza kuswali ndani yake kuanzia Agosti 3.
Habari ID: 3473025    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/02

TEHRAN (IQNA) – Waislamu wameanza kutekeleza ibada katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3473014    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/30

TEHRAN (IQNA) – Makundi kadhaa ya wanawake Waislamu nchini Australia wamejitolea kugawa misaada ya chakula kwa wasiojiweza mjini Melbourne katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473001    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/26

TEHRAN (IQNA) – Mufti Mkuu wa Ghana amesema inajuzu kwa Waislamu nchini humo kuswali Swala ya Idul Adha nyumbani.
Habari ID: 3472998    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/25

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Misri imetangaza kuwa swala ya Idul Adha nchini humo itaswalia katika msikiti mmoja tu.
Habari ID: 3472994    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/24

TEHRAN (IQNA) - Kila msikiti katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) utaruhusiwa kuwa na asilimia 50 ya waumini wanaoweza kuswali ndani yake kuanzia Jumatatu Agosti 3.
Habari ID: 3472993    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/24

TEHRAN (IQNA) – Kuwait imesema inapanga kuruhusu tena Swala za Ijumaa wiki hii, vyombo vya habari nchini humo vimeripoti.
Habari ID: 3472965    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/15

TEHRAN (IQNA) – Misikiti itaanza kufunguliwa tena nchini Morocco kuanzia Julai 15 baada ya kufungwa kwa miezi kadhaa ili kuzuia kuenea kwa kasi ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472945    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/09

TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa ufalme wa Saudi Arabia wametangaza protokali na kanuni za kiafya zitakazotumika katika ibada ya Hija mwaka huu ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472934    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/06

TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Wakfu nchini Misri Sheikh Mohammad Mokhtar Gomaa ameahidi kuwa serikali inatafakari kuhusu kuruhusu tena swala ya Ijumaa nchini humo ambayo imeendelea kupigwa marufuku hata baada ya misikiti kufunguliwa tena wiki hii.
Habari ID: 3472908    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/28