iqna

IQNA

Mawaidha
  IQNA – Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Kiislamu nchini Iran amesisitiza umuhimu wa kuwa na nia safi wakati wa kufanya amali njema.
Habari ID: 3479679    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/01

Maadili ya kibinafsi/ Hatari za Ulimi 14
IQNA – Ni muhimu kulinda maneno ya watu wengine, na mtu hapaswi kusambaza maneneo aliyoyasikia bila ya ridhaa ya aliyeyasema. Kueneza maneno yaw engine kunaweza kuitwa ni umbeya. Wasomi wa maadili ya Kiislamu wamekataza umbea kwani ni tabia isiyofaa ambayo husababisha uadui na chuki na kuharibu udugu na urafiki.
Habari ID: 3479651    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/27

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 13
IQNA - Kutukana ni kuhusisha sifa isiyofaa kwa mtu kwa hasira au chuki.
Habari ID: 3479637    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/23

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 12
IQNA - Istihza au dhihaka inafanuliwa na wanazuoni wa maadili kuwa ni kuiga maneno, matendo, sifa, au mapungufu ya mwingine kwa lengo la kuwafanya watu wacheke.
Habari ID: 3479628    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/21

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 11
IQNA – Mtu anapotumia La’an (kummlaani mtu mwingine), anamtaka mtu huyo awe mbali na rehema na neema za Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3479618    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 10
IQNA - Jidal, katika maadili , inahusu kubishana na katika hali mbaya ya idal, mtu hubishana ili hatimaye aonekana ndie mwenye kuibuka mshindi.
Habari ID: 3479607    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/17

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 9
IQNA - Asili ya Tuhmat au tuhuma kwa kawaida huwa ni dhann (kumshuku au kumdhania mtu vibaya). Kushuku tabia au maneno ya wengine kunaweza kusababisha mtu akatoa tuhuma iwe mbele ya mlengwa au akiwa hayupo.
Habari ID: 3479595    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/14

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 8
IQNA - Buhtan (kusingizia uongo na pia kusengenya), yaani kutoa taarifa ya uwongo inayoharibu sifa ya mtu, huwa na matokeo mabaya kwa mtu binafsi na jamii.
Habari ID: 3479582    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/12

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 7
IQNA - Buhtan (kusema uongo, kusingizia na pia kusengenya), ni kitendo ambacho hutendwa kwa ulimi n.k ili kuharibu sifa ya mtu na huchukuliwa kuwa ni dhambi kubwa katika Uislamu.
Habari ID: 3479563    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/08

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 6
IQNA – Khusuma ni neno la Kiarabu lenye maana ya uhasama au uadui. Katika maadili ya Kiislamu, inarejelea kugombana na wengine kwa malengo mbali mbali.
Habari ID: 3479505    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/28

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 5
IQNA – Maraa, kwa maneno ya ki maadili , inahusu kutafuta makosa kwa kile ambacho wengine wanasema ili kufichua kutokamilika kwa maneno yao.
Habari ID: 3479489    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/25

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 3
IQNA – Kufurahia masaibu ya wengine ni miongoni mwa hatari za ulimi na hutokea pale mtu anapofurahi kuona msiba wa nduguye katika imani na jambo hilo linakemewa katika Uislamu.
Habari ID: 3479449    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/17

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 2
IQNA-Mazungumzo yasiyo na maana pia huitwa "tamaa ya maneno". Hii ni tabia isiyofaa na kwa mujibu wa   maadili ya Kiislamu na hivyo Muislamu anapaswa kujiepusha nayo.
Habari ID: 3479440    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/15

Nidhamu Katika Qur’ani /11
IQNA – Imam Ali (AS) katika dakika za mwisho za uhai wake alisisitiza umuhimu wa nidhamu katika maisha, jambo ambalo linaonyesha kwamba malengo ya jumla ya jamii ya Kiislamu yanaweza kufikiwa tu kwa kuzingatia utaratibu na nidhamu.
Habari ID: 3478793    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/08

Maadili katika Qur'ani /1
TEHRAN (IQNA) – Wivu au uhasidi ni uovu mbaya wa ki maadili uliosababisha kesi ya kwanza ya mauaji ya kindugu na umwagaji damu baada ya kuumbwa kwa Adam (AS).
Habari ID: 3477066    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/29

Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA) – Maisha ya Mtume Muhammad SAW yamejaa mafunzo kwa wale wanaotafuta mwongozo wa ki maadili .
Habari ID: 3475906    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/10

TEHRAN (IQNA) – Wazazi Waislamu wametakuwa kuwa waangalifu kuhusu filamu na katuni ambazo watoto wao wanatizama.
Habari ID: 3473010    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/28