IQNA

Wazazi Waislamu watakiwa kuchunga filamu na katuni ambazo watoto wanatizama + Video

21:53 - July 28, 2020
Habari ID: 3473010
TEHRAN (IQNA) – Wazazi Waislamu wametakuwa kuwa waangalifu kuhusu filamu na katuni ambazo watoto wao wanatizama.

Katika klipu hii hapa chini wazazi wametakiwa kuwa waangalisi sana kwani baadhi ya katuni na filamu za Kimagharibi ambazo zinadaiwa ni za watoto zinaeneza maadili mabovu na ufuska.
Katuni na filamu za Kimagharibi kidhahiri zinaonekana ni za watoto lakini huwapa mafunzo yanayokiuka maadili ya Uislamu na kwa msingi huo hawapaswi kuzitizama.

 

3472112

Kishikizo: watoto ، katuni ، filamu ، uislamu ، maadili
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
captcha