Waziri wa Awqaf nchini Misri katika kuendeleza uhasama na chuki zake dhidi ya madhehebu ya Shia amewataka Mashia nchini humo kutoa taarifa rasmi ya kutangaza kuipinga Iran ili kuoneysha nia yao njema!
Habari ID: 3395050 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/26
Wananchi wengi wa Kaduna nchini Nigeria wanaendelea kujitokeza kwa wingi katika maombolezo ya mashahidi wa Karbala.
Habari ID: 3392936 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/23
Waislamu 25 wa madhehebu ya Shia wameuawa shahidi na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a baada ya bomu kulipuka ndani ya msikiti wakati wa Swala ya Idul-Adh’ha mapema leo asubuhi.
Habari ID: 3367085 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24
Watu wasiopungua 25wameuawa kufuatia hujuma ya kigaidi iliyolenga msikiti wa Imam Sadiq AS katika mji wa Kuwait.
Habari ID: 3319688 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/26
Ripoti Maalumu ya IQNA
Sambamba na kuanza hujuma ya hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia nchini Yemen, kumeshuhudiwa kuongezeka kwa kasi chuki dhidi ya Ushia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran barani Afrika.
Habari ID: 3315877 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/18
Mwenyekiti wa Maulamaa wa Ahlu Sunna nchini Iraq amesema kupambana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) ni wajibu kwa mujibu wa sheria za Kiislamu.
Habari ID: 3310587 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/02