iqna

IQNA

mashia
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Waislamu hawapaswi kuungana na kusimama pamoja wakati wa matukio fulani maalumu pekee, bali wanapaswa kushirikiana nyakati zote na kustawi pamoja, kwani hilo ni jambo la dharura.
Habari ID: 3474468    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/24

TEHRAN (IQNA)- Hujuma ya kigaidi imelenga msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Kandahar, Afghanistan na kuepelekea waumini wasiopungua 32 kuuawa shahidi na wengine zaidi ya 53 kujeruhiwa.
Habari ID: 3474426    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/15

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kufuatia kuuawa shahidi na kujeruhiwa idadi kubwa ya watu wasio na hatia nchini Afghanistan.
Habari ID: 3474400    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/09

TEHRAN (IQNA)- Waumini zaidi ya 60 wameopoteza maisha katika hujuma kigaidi dhidi ya msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia huku katika mji wa Kunduz kaskazini mashariki mwa Afghanistan.
Habari ID: 3474397    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/08

TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia inakusudia kutekeleza adhabu ya kifo dhidi ya vijana watano ambao walikamatwa miaka kadhaa iliyopita wakiwa watoto wadogo.
Habari ID: 3472529    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/04

TEHRAN (IQNA)- Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetahadharisha kuhusu mpango wa utawala wa Saudi Arabia kuwanyonga wafungwa 12 Waislamu wa madhehebu ya Shia Ithnashariya.
Habari ID: 3471735    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/09

TEHRAN (IQNA)- Hatimaye Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Saudi Arabia usitishe jinai na hujuma zake dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471119    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/13

Maulamaa wa madhehebu ya Shia nchini Bahrain wametoa taarifa na kulalamikia hatua ya utawala wa kifalme nchini humo kuwakamata maulamaa wa Kiislamu na maimamu wa misikiti.
Habari ID: 3470253    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/18

Maandamano yamefanyika katiak maeneo mbali mbali duniani ikiwa ni pamoja na Iraq, Bahrain, Uingereza na Pakistan kulaani mauaji ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Nigeria.
Habari ID: 3465571    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/18

Mwana wa kiume wa Sheikh Ibrahim Zakzaky wa nchini Nigeria amesema familia bado haijazungumza na kiongozi huyo wa Waislamu wa madhehebu ya Shia tangu alipokamatwa na kwa mantiki hiyo hawana uthibitisho wowote kama yuko hai au la.
Habari ID: 3465562    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/18

Shirika la Iran la Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu ICRO limetoa taarifa na kulaani hujuma ya hivi karibuni ya jeshi la Nigeria dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia ambapo zaidi ya waumini 1000 wameripotiwa kuuawa.
Habari ID: 3464304    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/17

Polisi nchini Nigeria wameendeleza ukatili wa jeshi la nchi hiyo kwa kuwaua Waislamu wanne wa madhehebu ya Shia huku magaidi wa Boko Haram wakiachwa huru kuendeleza mauaji yao.
Habari ID: 3463969    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/16

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitaka serikali ya Nigeria kuwaheshimu viongozi wa kidini na maeneo matakatifu, siku moja baada ya jeshi la nchi hiyo kumkamata kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky, baada ya kutekeleza hujuma nyumbani kwake kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3463095    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/14

Jeshi la Nigeria limemkamata kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky, baada ya kutekeleza hujuma nyumbani kwake kaskazini wa nchi hiyo.
Habari ID: 3462774    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/13

Waislamu 21 wa madhehebu ya Shia wameuawa shahidi katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria baada ya gaidi moja kujiripua kwenye msafara wa Waislamu hao Ijumaa hii.
Habari ID: 3457492    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/27

Waziri wa Awqaf nchini Misri katika kuendeleza uhasama na chuki zake dhidi ya madhehebu ya Shia amewataka Mashia nchini humo kutoa taarifa rasmi ya kutangaza kuipinga Iran ili kuoneysha nia yao njema!
Habari ID: 3395050    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/26

Wananchi wengi wa Kaduna nchini Nigeria wanaendelea kujitokeza kwa wingi katika maombolezo ya mashahidi wa Karbala.
Habari ID: 3392936    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/23

Waislamu 25 wa madhehebu ya Shia wameuawa shahidi na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a baada ya bomu kulipuka ndani ya msikiti wakati wa Swala ya Idul-Adh’ha mapema leo asubuhi.
Habari ID: 3367085    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24

Watu wasiopungua 25wameuawa kufuatia hujuma ya kigaidi iliyolenga msikiti wa Imam Sadiq AS katika mji wa Kuwait.
Habari ID: 3319688    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/26

Ripoti Maalumu ya IQNA
Sambamba na kuanza hujuma ya hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia nchini Yemen, kumeshuhudiwa kuongezeka kwa kasi chuki dhidi ya Ushia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran barani Afrika.
Habari ID: 3315877    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/18