iqna

IQNA

TERHAN (IQNA) - Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al-Azhar cha nchini Misri kimelaani vikali matamshi ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuhusu Uislamu na kusisitiza kuwa, matamshi ya rais huyo ni ya kibaguzi.
Habari ID: 3473229    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/04

TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Walimu wa Chuo Kikuu cha Kidini (Hawza) cha Qum hapa Iran imelaani vikali kuvunjiwa heshima matukufu ya Qur'ani Tukufu na Mtume Muhammad SAW na kusisitiza kuwa, kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu kwa kisingizio cha uhuru wa itikadi kwa hakika ni kuukata roho uhuru huo na kungamiza kijinai, itakadi ya watu.
Habari ID: 3473137    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/04

TEHRAN (IQNA) – Wazazi Waislamu wametakuwa kuwa waangalifu kuhusu filamu na katuni ambazo watoto wao wanatizama.
Habari ID: 3473010    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/28

TEHRAN (IQNA)- Mtafiti kutoka Ethiopia amekusanya vitabu na makala za kale za Kiislamu na Kiarabu.
Habari ID: 3473009    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/28

TEHRAN (IQNA) – Paul Pogba, nyota wa timu ya Manchester United Ligu Kuu ya England nchini Uingereza anasema imani imani yake ya Kiislamu imemfanya awe mwanadamu bora.
Habari ID: 3471997    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/12

TEHRAN (IQNA)- Washiriki wa warsha iliyofanyika hivi karibuni nchini Pakistan wamesema Uislamu ni dini pekee ambayo imeangazia kila kipengee cha maisha sambamba na kulinda haki za binadamu.
Habari ID: 3471767    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/11

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani mpango wa kufanyika maonyesho ya katuni zenye kuvunjia heshima matukufu ya Uislamu nchini Uholanzi.
Habari ID: 3471653    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/30

Taasisi ya Darul Iftaa ya Misri
TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Darul Iftaa ya Misri, ambayo hutoa muongozo wa Kiislamu nchini humo, imetangaza kuwa mchezo maarufu wa video wa ‘Blue Whale’ ni haramu katika Uislamu baada ya kubainika kuwa watu kadhaa walioucheza wameishia kujitoa uhai.
Habari ID: 3471458    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/08

TEHRAN (IQNA)- Mhadhiri wa Uislamu kutoka India amesema Qur'ani Tukufu ni muongozo kamili kwa wanadamu wa zama zote.
Habari ID: 3471447    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/29

TEHRAN (IQNA)- Rais Reccep Tayyip Erdogan wa Uturuki amekosoa vikali matamshi Mrithi wa Kiti cha Ufalme Saudia Mohammad Bin Salman kuhusu kile alichodai kuwa ni "Uislamu wa misimamo ya wastani."
Habari ID: 3471259    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/12

TEHRAN (IQNA)-Itikadi ya Uwahhabi imetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la ugaidi na chuki dhidi ya Uislamu Nigeria.
Habari ID: 3471240    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/31

TEHRAN (IQNA)-Kituo cha utamaduni cha Iran nchini Zimbabwe kimeandaa warsha ya “Uislamu na Ukristo” mjini Harare.
Habari ID: 3471124    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/16

TEHRAN (IQNA)-Kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la Waislamu nchini Madagascar katika kipindi cha miaka saba iliyopita.
Habari ID: 3471007    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/05

TEHRAN (IQNA)-Uislamu unaenea kwa kasi nchini Zimbabwe huku wakaazi wengi wa nchi hiyo wakiwa sasa wanafahamu na kukubali mafundisho ya dini hiyo tukufu.
Habari ID: 3470981    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/15

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zinaipinga Iran ya Kiislamu kwa kuwa Uislamu umedhihiri nchini hapa na ndio unaozuia tamaa zao
Habari ID: 3470951    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/25

Askofu Mkuu nchini Nigeria
TEHRAN (IQNA)-Askofu Mkuu wa Nigeria amesisitiza udharura wa kufanyika mazungumzo kati ya wafuasi wa dini za mbinguni na kusema kuwa, ni muhimu sana kuzitofautisha na dini ya Uislamu fikra za kigaidi kama zile za kundi la Boko Haram.
Habari ID: 3470908    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/26

IQNA-Murtadha Ridhwanifar, msomi wa masuala ya utamaduni nchini Iran amefanya safari Afrika Mashariki kuangazia historia ya Washirazi waliofika eneo hilo kutoka Iran.
Habari ID: 3470748    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/18

Tuko katika siku ya mwisho ya mwezi wa Safar, siku ambayo ni kumbukumbu ya kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa Ridha AS mmoja kati ya watu wa Nyumba tukufu ya Mtume Mtukufu Muhammad SAW.
Habari ID: 3470706    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/30

IQNA-Uislamu unazidi kuimarika na kuenea kote huko Zimbabwe kutokana watu wa nchi hiyo kutambua itikadi za dini hii tukufu.
Habari ID: 3470678    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/15

IQNA-Bondia mashuhuri wa Uingereza 'Tyson Fury' ametangaza kusilimu kupitia ujumbe wake wa Twitter na kutangaa jina lake kuwa, Riyadh Tyson Mohammad.
Habari ID: 3470674    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/13