IQNA – Kibonzo kilichoonekana kuwataja Manabii wa Mwenyezi Mungu kwa njia ya dhihaka kiliibua lawama nyingi nchini Uturuki, ikiwemo kutoka kwa Rais wa nchi hiyo.
Habari ID: 3480884 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/02
IQNA – Eneo moja kaskazini magharibi mwa Ufaransa lilikumbwa na tukio la pili la chuki dhidi ya uislamu linalolenga msikiti ndani ya wiki moja tu.
Habari ID: 3480122 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/29
IQNA - Balozi wa zamani wa Iran katika Vatikani alielezea mazungumzo ya kidini kati ya Uislamu na Ukristo kama aina ya sanaa na suala la kiufundi linalohitaji uelewa wa pande zote mbili.
Habari ID: 3480103 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/26
IQNA – Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu nchini Iran amesisitiza mwongozo wa kina ambao Uislamu unatoa kwa nyanja zote za maisha ya kibinafsi na kijamii.
Habari ID: 3480024 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/10
Mazungumzo ya Kidini
IQNA - Kibao chenye nukuu kutoka hotuba za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu Nabii Isa Masih (Amani ya Iwe Juu Yake) ambaye ni maarufu kama Yesu miongoni mwa Wakristo, kimewasilishwa kwa Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.
Habari ID: 3480009 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/05
Mtazamo
IQNA – Mafanikio ya vituo vya Kiislamu katika nchi za Magharibi yanategemea kutekeleza mafundisho ya Qur'ani Tukufu na Ahl al-Bayt (AS), amesema Ayatullah Abdollah Javadi Amoli.
Habari ID: 3479981 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/31
Teknolojia katika Uislamu
IQNA - Kongamano litafanyika katika Msikiti wa Jamkaran huko Qom, Iran, kujadili mahitaji na matumizi ya akili mnemba yaani Artificial Intelligence (AI) katika misikiti.
Habari ID: 3479947 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/24
Waislamu Australia
IQNA - Mwanamke mmoja amefunguliwa mashtaka rasmi kufuatia tukio katika duka la Kmart huko Bankstown, magharibi mwa Sydney, Australia ambapo anashutumiwa kwa kumtusi na kumtisha mwanamke wa Kiislamu wakati wa makabiliano ambayo yalizuka hadharani.
Habari ID: 3479940 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/23
Teknolojia na Uislamu
IQNA-Mtaalamu wa Kiislamu amesema kuwa akili mnemba au Artificial Intelligence (AI) ni "kifaa chenye thamani" ambacho kinaweza kutumika kwa huduma ya wanadamu lakini amesisitiza kwamba teknolojia hii haiwezi kuwa mbadala wa fikra za mwanadamu.
Habari ID: 3479906 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/16
Mahojiano
IQNA - Mwanafalsafa wa Misri anasema nchi za Ulaya zilifaidika na falsafa ya Kiislamu ili kujikomboa kutoka kwa Zama za Giza.
Aiman al-Misri, ambaye anaongoza Chuo cha Rational Hikma, alisema hayo katika mahojiano na Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA) kuhusu falsafa.
Habari ID: 3479800 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/24
Uislamu Chaguo Langu
IQNA - Natalie Hatten ni mwanamke kutoka Uholanzi ambaye alisilimu mwaka 1993.
Habari ID: 3479777 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/19
Mazingira
IQNA - Msikiti wa kwanza wa Asia Magharibi ambao unazalisha nishati zaidi kuliko unavyotumia (net positive energy), umefunguliwa huko Dubai, UAE.
Habari ID: 3479721 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09
Matukio ya Karbala
Maombolezo ya Ashura yalifanyika katika Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali (AS) huko Vienna, mji mkuu wa Austria.
Habari ID: 3479142 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/17
Umuhimu wa Qur'ani Tukufu
Makao makuu ya Shirika la Kielimu, Sayansi, na Utamaduni la Ulimwengu wa Kiislamu (ICESCO) yaliandaa Semina ya kwanza ya Kimataifa iliyopewa jina la "Qur'ani na Magharibi: Kuelekea Njia ya Kimakini" mnamo Jumanne, Julai 9, 2024, mwaka huu.
Habari ID: 3479101 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/10
Sikukuu ya Eid Ghadir Khum
Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo amekutana na kuzungumza na maelfu ya wananchi katika sherehe ya maadhimisho ya Sikukuu ya Eid Ghadir Khum.
Habari ID: 3479012 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/26
Mazingira
IQNA - Kituo cha Kiislamu nchini India kimewataka Waislamu kuhifadhi mazingira ili kupambana na wimbi la joto kali ambalo nchi hiyo inakabiliana nalo.
Habari ID: 3478932 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/04
Nidhamu Katika Qur’ani /11
IQNA – Imam Ali (AS) katika dakika za mwisho za uhai wake alisisitiza umuhimu wa nidhamu katika maisha, jambo ambalo linaonyesha kwamba malengo ya jumla ya jamii ya Kiislamu yanaweza kufikiwa tu kwa kuzingatia utaratibu na nidhamu.
Habari ID: 3478793 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/08
IQNA – Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahl-ul-Bayt (AS) amesema Uislamu ni mtetezi wa kweli wa haki za binadamu zikiwemo za wanawake.
Habari ID: 3478755 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/02
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
MOSCOW (IQNA)- Russia imetangaza kwamba inajitahidi kuandaa taarifa ya kimataifa katika Umoja wa Mataifa ya kulaani vitendo vyote kudhalilishwa au kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na Uislamu, mwanadiplomasia wa nchi hiyo amesema.
Habari ID: 3478001 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/07
Uislamu ni chaguo langu
KANO (IQNA) - Mwanamke wa Bulgaria mwenye umri wa miaka 62, Liliana Mohammed, amefikia ndoto yake ya kujifunza Qur'ani Tukufu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria ambako amekuwa akiishi kwa zaidi ya miaka 30.
Habari ID: 3477993 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/06