iqna

IQNA

IQNA-Warsha ya pili ya kieneo ya mazungumzo baina ya dini imefanyika nchini Zimbabwe kwa himaya ya Mwambata wa Utamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini humo.
Habari ID: 3470631    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/23

Spika wa Bunge la Iraq
Spika wa Bunge la Iraq amesema Umma wa Kiislamu unakabiliwa na hatari kubwa kutokana na makundi ya wenye misimamo mikali nay a kufurutu ada.
Habari ID: 3470628    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/22

Rais wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna ulazima wa kutumia njia za kiutamaduni na kiuchumi kukabiliana na ugaidi.
Habari ID: 3470617    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/17

Tuko katika siku hizi za kuomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein AS ambaye ni mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
Habari ID: 3470608    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/12

Abdul-Malik Badreddin al-Houthi
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Marekani ndiyo iliyotoa amri ya kushambuliwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470574    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/21

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kuwa miongoni mwa wenye kushikamana na Wilaya ya Ali bin Abi Talib na kizazi chake kitoharifu na maasumu; na mpaka pale roho zetu zitakapokuwamo viwiliwilini mwetu.
Habari ID: 3470572    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/19

Warsha ya pili ya kutoa mafunzo ya Uislamu kwa wanafunzi Wakristo na Waislamu nchini Zimbabwe imefanyika kwa mjini Harare.
Habari ID: 3470569    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/18

Wakaazii wa mji wa Tshwane nchini Afrika Kusini wamebainisha hasira zao baada ya kupatikana maandishi ukutani yenye kuwavunjia heshima Waislamu.
Habari ID: 3470566    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/16

Wanafunzi Wakristo nchini Zimbabwe wameshiriki katika warsha ya siku moja kuhusu Uislamu.
Habari ID: 3470510    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/09

Mwanamke Mwislamu nchini Marekani amefutwa kazi baada kutokana na kuvaa vazi la Hijabu akiwa kazini.
Habari ID: 3470501    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/07

Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limeitaja kuwa bandia habari iliyoenezwa kuwa limeitaja dini tukufu ya Kiislamu kuwa ndiyo dini ya amani zaidi duniani.
Habari ID: 3470453    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/13

Tuko katika siku ya 21 ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambayo inasadifiana na munasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali bin Abi Twalib AS.
Habari ID: 3470418    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/27

Kiongozi wa Kikristo nchini Samoa ameitaka serikali ya nchi hiyo ya Bahari ya Pasifiki kuupiga marufuku Uislamu.
Habari ID: 3470335    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/25

Sheikhe Mkuu wa Al Azhar
Sheikhe Mkuu wa Chuo cha al Azhar nchini Misri, Dk Ahmad Muhammad al Tayyib amesema kuwa, kwa mujibu wa aya ya 32 ya Suratul Maida ya Qur'ani Tukufu, dini ya Kiislamu inapiga marufuku kumshambulia mwanadamu yeyote kutoka dini yoyote ile.
Habari ID: 3470327    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/21

Habari ID: 3470323    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/21

Mkurugenzi wa Radio Bilal nchini Uganda amekutana na mwambata wa utamaduni wa Iran mjini Kampala na kusema, moja ya majukumu muhimu ya Radio hiyo ni kufundisha Qur'ani Tukufu, kuutangaza Uislamu na midahalo ya kidini.
Habari ID: 3470320    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/19

Tarehe 27 Rajab 'Mwaka wa 40 wa Ndovu au 'Aamul Fiyl', Muhammad SAW alikuwa ameenda katika milima ya kaskazini mwa Makka kunong'ona na Mola wake.
Habari ID: 3470293    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/04

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Uislamu ni dini ya upendo na amani na siku zote inapinga na kukataza utumiaji mabavu na uchupaji mipaka.
Habari ID: 3462297    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/12

Mwanabondia mashuhuri duniani Mohammad Ali ametoa wito kwa Waislamu hasa nchini Marekani kusimama kidete na kuwalaani wale wanaoeneza chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3462056    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/11

Tuko katika tarehe ya 28 Mfunguo Tano Safar ambayo inasadifiana na siku ya kukumbuka alipofariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW. Siku kama hii mwaka wa 11 Hijria, Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad al Mustafa, SAW alitangulia mbele ya Haki akiwa ametekeleza vilivyo jukumu alilopewa na Mola wake Mlezi.
Habari ID: 3461857    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/09