haki za binadamu - Ukurasa 2

IQNA

Katika kuendelea ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Bahrain, wanajeshi wa utawala wa Aal Khalifa wamemtia mbaroni Nabil Rajab, mkuu wa kituo cha haki za binadamu nchini humo.
Habari ID: 3470381    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/13