Mtazamo
        
        IQNA - Imamu mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri alisema matukio machungu yanayotokea duniani yanadhihirisha ukweli kwamba ubinadamu unahitaji mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
                Habari ID: 3478645               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/04/07
            
                        Umoja wa Kiislamu
        
        TEHRAN (IQNA) - Imamu Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri Sheikh Ahmed al-Tayyeb anaripotiwa kupanga kusafiri kuelekea Iraq.
                Habari ID: 3476965               Tarehe ya kuchapishwa            : 2023/05/06
            
                        
        
        Sheikhe Mkuu wa Al Azhar, Ahmad Tayyeb ametoa wito wa kufanyika vikao vya pamoja vya wasomi Waislamu wa madhehebu za Shia na Sunni.
                Habari ID: 3470188               Tarehe ya kuchapishwa            : 2016/03/09
            
                        Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Kiislamu
        
        Msomi wa Kiislamu Uingereza Dkt. Kamal Helbawi amesema wito wa Chuo Kikuu cha Al Azhar Misri wa kutaka kufanyike kikao cha pamoja baina ya maulamaa wa Kishia na Kisuni ni fursa nzuri ya kuondoa fitina zilizopo katika jamii za Waislamu duniani.
                Habari ID: 3339022               Tarehe ya kuchapishwa            : 2015/08/05