CHAD

IQNA

IQNA – Wanafunzi wa madrasa nchini Chad wamezawadiwa Misahafu au nakala 1,500 za Qur’ani Tukufu na taasisi ya kutoa misaada ya nchini Uturuki inayojulikana kama Orphan Foundation (Yetimler Vakfı).
Habari ID: 3482282    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/25

TEHRAN (IQNA) Hussein Ibrahim Taha ameanza rasmi kazi kama Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiisalmu (OIC).
Habari ID: 3474574    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/18

TEHRAN (IQNA) - Mwanadiplomasia Hussein Ibrahim Taha, aliyewahi kuwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Chad ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC akichukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa Msaudia Yousef bin Ahmad Al-Othaimeen.
Habari ID: 3473404    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/29