iqna

IQNA

IQNA-Msikiti erevu (smart mosque) unatazamiwa kuzinduliwa kwa mara ya kwanza katika Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.
Habari ID: 3470896    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/15

IQNA-Moto umeteketeza Msikiti na Kituo Kiislamu cha Ypsilanti mjini Pittsfield, jimboni Michigan nchini Markeani
Habari ID: 3470893    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/13

IQNA-Imamu wa msikiti mmoja katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad amepigwa risasi na kuuawa magharibi mwa mji huo.
Habari ID: 3470877    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/03

IQNA: Gaidi Mkristo aliyewaua Waislamu sita katika msikiti mmoja nchini Canada amebainika kuwa mfuasi wa Rais Donald Trump wa Marekani.
Habari ID: 3470827    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/01

IQNA-Waislamu sita wameuawa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti mmoja katika mji wa Quebec nchini Canada.
Habari ID: 3470823    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/31

IQNA: Chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu zinaendelea kushika kasi Marekani huku msikiti mwingine ukiteketezwa moto katika katika jimbo la Texas.
Habari ID: 3470820    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/29

IQNA: Msikiti wa Kizimkazi ni kati ya misikiti mikongwe zaidi Afrika Mashariki na uko visiwani Zanzibar na ulijengwa na Wairani mwaka 500 Hijria Qamaria sawa na mwaka 1107 Miladia.
Habari ID: 3470725    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/08

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO limepitisha azimio na kusema Msikiti wa Al Aqsa ni milki ya Waislamu kwamba Mayahudi hawana haki katika msikiti huo.
Habari ID: 3470611    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/14

Kauli mbiu ya Siku ya Misikiti Duniani
Kauli mbiu ya Siku ya Kimataifa ya Misikiti mwaka hii imetajwa kuwa ni ‘Misikiti, Mhimili wa Umoja wa Ummah wa Kiislamu.
Habari ID: 3470532    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/19

Mshukiwa mmoja amefikishwa mahakamani Marekani baada ya kubainika kuwa alimpiga risasi na kumua Imamu wa msikiti na Mwislamu aliyekuwa naye huko mjini New York huku Waislamu wakitaka uadilifu na haki.
Habari ID: 3470526    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/17

Imam wa msikiti mmoja katika jimbo la New York nchini Marekani ameuawa kwa kufyatuliwa risasi katika hujuma ya kigaidi.
Habari ID: 3470522    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/14

Ndege za kivita za Saudi Arabia zimedondosha mabomu katika msikiti mwingine huko kaskazini mashariki mwa Yemen.
Habari ID: 3470511    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/09

Watu 14 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti mmoja viungani mwa Baghdad, mji mkuu wa Iraq.
Habari ID: 3470420    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/28

Serikali ya Ghana imewajengea polisi nchini humo msikiti wao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na kujifunza Kiislamu.
Habari ID: 3470365    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/07

Katika kuendelea chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya, chama kimoja cha kisiasa Ujerumani kimependekeza kuzuiwa ujenzi wa misikiti nchini humo.
Habari ID: 3470338    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/26

Watu 8 waliokuwa wamingia msikiti ni kupata hifadhi wameuawa katika hujuma ya watu waliokuwa na silaha katika eneo la El Geneina katika eneo la Darfur Magharibi mwa Sudan.
Habari ID: 3470336    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/25

Taifa la Tanzania limetikiswa na mauaji ya kikatili yaliyotekelezwa na magaidi katika msikiti mmoja wa mjini Mwanza kaskazini mwa nchi hiyo Jumatano iliyopita.
Habari ID: 3470324    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/21

Mwanazuoni wa Kiislamu nchini Nigeria Dr Abdullateef Abdulhakeem ametoa wito kwa Waislamu kuzingatia zaidi msikiti si tu kama sehemu ya kusimamisha sala bali pia kituo cha kurekebisha jamii.
Habari ID: 3470291    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/04

Watu wasiopungua 11 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya bomu kulipuka ndani ya msikiti mmoja katika eneo la Radwaniyah kusini magharibi mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
Habari ID: 3470264    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/23

Wapalestina hii wanashiriki katika maandamano makubwa yaliyopowa anuani 'Ijumaa ya Ghadhabu' ilikulaani jina za utawala haramu wa Israel na kuunga mkono mapambano na intifadha au mwamko dhidi ya utawala huo.
Habari ID: 3462045    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/11