Kundi la kigaidi na kitakfiri linalojiita Daesh (ISIL) limebomoa msikiti mwingine wa kihistoria katika mji wa Mosul nchini Iraq.
Habari ID: 2944654 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/08
Waislamu nchini Cuba wametoa wito wa kujengwa msikiti katika mji mkuu wa nchi hiyo, Havana.
Habari ID: 2877957 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/21
Stephen Le Foll, Msemaji wa serikali ya Ufaransa ametembelea na kukagua msikiti ulioko katika eneo la Port- la- Nouvelle kusini mwa nchi hiyo. Taarifa zinasema kuwa, msikiti huo ulishambuliwa kwa maguruneti matatu.
Habari ID: 2700801 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/12
Katibu Mkuu wa OIC
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC amesema kuwa, Waislamu wote wana haki ya kuingia katika msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.
Habari ID: 2677828 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/06
Mamia ya Waislamu nchini Sweden waliandamana Ijumaa kulaani kitendo cha kushambuliwa msikiti mmoja kwa bomu la petroli siku ya Alkhamisi.
Habari ID: 2637292 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/27
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amelaani vikali shambulizi la kigaidi kwenye Msikiti Mkuu wa Kano, Nigeria jana Ijumaa, ambalo limeripotiwa kupelekeka kuuawa watu zaidi ya 120 na kuwajeruhi wanaokisiwa kuwa mamia ya wengine.
Habari ID: 2613079 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/29
Ghasia na machafuko mapya yamezuka kati ya askari wa utawala wa kizayuni wa Israel na waandamanaji wa Palestina katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel baada ya utawala huo kufunga Msikiti mtukufu wa al Aqsa.
Habari ID: 1470536 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/06
Mahmoud Abbas Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameahidi kuchukua hatua za kisheria kuzuia walowezi wa Kizayuni kuuvuamia Msikiti wa Al Aqsa katika Baitul Muqaddas.
Habari ID: 1461999 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/20
Msikiti wa saba kwa ukubwa zaidi duniani umefunguliwa katika mji wa Lahore nchini Pakistan.
Habari ID: 1459697 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/12
Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sawa na siku za huko nyuma itatumia uwezo wake wote kwa ajili ya kuukomboa mji wa Quds na Msikiti wa Al Aqsa ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu sambamba na kulisaidia taifal linalodhulumiwa la Palestina.
Habari ID: 1445555 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/01
Demba Ba mchezaji wa Timu ya Soka ya Chelsea katika ligi ya Premier nchini nchini Uingereza amefadhili kikamilifu ujenzi wa msikiti katika nchi yake asili, Senegal.
Habari ID: 1405411 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/10
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa wito kwa taifa la Palestina kuuhami na kuulinda Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 1395102 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/14