iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Al-Nejashi nchini Ethiopia, unaoaminika kuwa msikiti kwa kwanza kujengwa barani Afrika, umekarabatiwa.
Habari ID: 3471718    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/24

TEHRAN (IQNA) - Wanaakiolojia huko Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati) wamegundua msikiti unaokadiriwa kuwa uliojengwa miaka 1,000 iliyopita katika eneo unakojengwa Msikiti Mkuu wa Sheikh Khalifa mjini Al Ain karibu na mpaka wa nchi hiyo na Oman.
Habari ID: 3471663    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/08

TEHRAN (IQNA)- Siku kama ya leo miaka 49 iliyopita, inayosadifiana na 21 Agosti 1969, Masjidul Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu, kilichomwa moto na Wazayuni.
Habari ID: 3471641    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/21

TEHRAN (IQNA)- Japan imezindua 'misikiti inayotembea' ambayo itatumika katika Michezo ya Olimpiki na Paralimpiki Tokyo mwaka 2020.
Habari ID: 3471611    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/29

TEHRAN (IQNA) – Kutokana na Waislamu kuswali mara tano kwa siku katika sala za jamaa misikitini, suala la usafi na unadhifu ni muhimu sana na limetiliwa mkazo katika mfundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3471537    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/30

TEHRAN (IQNA) –Waislamu wa mji mkuu wa Australia, Canberra wana sababu ya kutabasamu kufuatia kufunguliwa msikiti mpya katika mji huo baada ya jitihahada za muda mrefu.
Habari ID: 3471495    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/05

TEHRAN (IQNA)-Jamii ya Waislamu inazidi kuongezeka huko Hong Kongo, eneo lenye mamlaka ya kujitawala nchini China, na kwa msingi huyo kumeanzishwa jitihada za kujenga msikiti mpya ambao ujenzi wake umekwama kwa muongo moja sasa.
Habari ID: 3471466    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/15

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa kwanza kujengwa katika eneo la Outer Hebrides huko Scotland nchini Uingereza utafunguliwa katika kipindi cha miezi michahce ijayo hata baada ya Kanisa la Presbyterian kupinga vikali ujenzi huo.
Habari ID: 3471460    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/10

TEHRAN (IQNA)- Msikiti katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm, umehujumiwa na kuandikwa maandishi na nembo za kibaguzi siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3471441    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/23

TEHRAN (IQNA)- Njama ya watu wenye misimamo mikali ya kinazi ya kuushambulia kwa bomu msikiti Scotland nchini Uingereza imetibuliwa na mshukiwa kukamatwa.
Habari ID: 3471430    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/16

TEHRAN (IQNA)- Kuna mpango wa kutumia 'Misikiti itembeayo' katika michezo ya Olympiki na Paralimpiki mjini Tokyo, Japan mwaka 2020 kwa lengo la kuwasahilishia Waislamu ibada.
Habari ID: 3471398    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/20

TEHRAN (IQNA)-Watu wasuijulikana wameuhujumu msikiti wa eneo la kati mwa mji mkuu wa Sweden, Stockholm Ijumaa usiku na kuchora nembo za kinazi.
Habari ID: 3471364    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/21

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wasiopungua 305 wameuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika shambulizi la magaidi wa Kiwahhabi dhidi ya msikiti mmoja wa Twariqa katika Peninsula ya Sinai nchini Misri.
Habari ID: 3471278    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/24

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wasiopungua 50 wameuawa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti mmoja ulioko kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3471273    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/21

TEHRAN- (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameuvunjia heshima msikiti ambao bado unajengwa katika mji wa Frankfurt, Ujerumani Jumanne.
Habari ID: 3471232    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/27

TEHRAN (IQNA)- Watoto katika mji wa Istanbul Uturuki wametunukiwa zawadi ya baiskeli kwa kushiriki katika sala ya jamaa msikiti ni kwa siku 40 mfululizo.
Habari ID: 3471213    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/12

TEHRAN (IQNA)-Mahakama moja nchini Saudi Arabia imesema Shirika la Ujenzi la Binladin halina hatia na haliwezi kubebeshwa dhima ya kuanguka winchi (crane) katika Msikiti Mtakatifu wa Makka wakati wa msimu wa Hija mwaka 2015.
Habari ID: 3471203    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/03

TEHRAN (IQNA)-Msikiti umeteketezwa moto katika mji wa Orebro kusini mwa Sweden katika tukio ambalo linaaminika kutekelezwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3471194    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/26

TEHRAN (IQNA)-Waislamu wameuawa wameuawa baada ya gaidi kujilipua ndani ya msikiti kaskaini mwa Cameroon, ambapo maafisa wa usalama wanashuku kundi la kigaidi la Boko Haram limehusika na hujuma hiyo.
Habari ID: 3471172    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/14

TEHRAN (IQNA)-Msikiti ambao ungali unajengwakusini mashariki mwa Uholanzi umeshambuliwa na watu wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3471155    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/03