msikiti - Ukurasa 16

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Jamii ya Waislamu inazidi kuongezeka huko Hong Kongo, eneo lenye mamlaka ya kujitawala nchini China, na kwa msingi huyo kumeanzishwa jitihada za kujenga msikiti mpya ambao ujenzi wake umekwama kwa muongo moja sasa.
Habari ID: 3471466   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/15

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa kwanza kujengwa katika eneo la Outer Hebrides huko Scotland nchini Uingereza utafunguliwa katika kipindi cha miezi michahce ijayo hata baada ya Kanisa la Presbyterian kupinga vikali ujenzi huo.
Habari ID: 3471460   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/10

TEHRAN (IQNA)- Msikiti katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm, umehujumiwa na kuandikwa maandishi na nembo za kibaguzi siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3471441   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/23

TEHRAN (IQNA)- Njama ya watu wenye misimamo mikali ya kinazi ya kuushambulia kwa bomu msikiti Scotland nchini Uingereza imetibuliwa na mshukiwa kukamatwa.
Habari ID: 3471430   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/16

TEHRAN (IQNA)- Kuna mpango wa kutumia 'Misikiti itembeayo' katika michezo ya Olympiki na Paralimpiki mjini Tokyo, Japan mwaka 2020 kwa lengo la kuwasahilishia Waislamu ibada.
Habari ID: 3471398   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/20

TEHRAN (IQNA)-Watu wasuijulikana wameuhujumu msikiti wa eneo la kati mwa mji mkuu wa Sweden, Stockholm Ijumaa usiku na kuchora nembo za kinazi.
Habari ID: 3471364   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/21

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wasiopungua 305 wameuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika shambulizi la magaidi wa Kiwahhabi dhidi ya msikiti mmoja wa Twariqa katika Peninsula ya Sinai nchini Misri.
Habari ID: 3471278   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/24

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wasiopungua 50 wameuawa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti mmoja ulioko kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3471273   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/21

TEHRAN- (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameuvunjia heshima msikiti ambao bado unajengwa katika mji wa Frankfurt, Ujerumani Jumanne.
Habari ID: 3471232   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/27

TEHRAN (IQNA)- Watoto katika mji wa Istanbul Uturuki wametunukiwa zawadi ya baiskeli kwa kushiriki katika sala ya jamaa msikitini kwa siku 40 mfululizo.
Habari ID: 3471213   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/12

TEHRAN (IQNA)-Mahakama moja nchini Saudi Arabia imesema Shirika la Ujenzi la Binladin halina hatia na haliwezi kubebeshwa dhima ya kuanguka winchi (crane) katika Msikiti Mtakatifu wa Makka wakati wa msimu wa Hija mwaka 2015.
Habari ID: 3471203   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/03

TEHRAN (IQNA)-Msikiti umeteketezwa moto katika mji wa Orebro kusini mwa Sweden katika tukio ambalo linaaminika kutekelezwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3471194   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/26

TEHRAN (IQNA)-Waislamu wameuawa wameuawa baada ya gaidi kujilipua ndani ya msikiti kaskaini mwa Cameroon, ambapo maafisa wa usalama wanashuku kundi la kigaidi la Boko Haram limehusika na hujuma hiyo.
Habari ID: 3471172   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/14

TEHRAN (IQNA)-Msikiti ambao ungali unajengwakusini mashariki mwa Uholanzi umeshambuliwa na watu wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3471155   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/03

TEHRAN (IQNA) Magaidi wameuhujumu msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia mjini Kabul, Afghanistan na kuuawa waumini 30 waliokuwa katika Sala ya Ijumaa.
Habari ID: 3471142   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/26

TEHRAN (IQNA)-Bomu limelipuka katika mlango wa msikiti mjini Benghazi, Libya Ijumaa baada ya sala ya Alfajiri na kuwajeruhiwa watu saba.
Habari ID: 3471105   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/05

TEHRAN (IQNA)-Magaidi wametekelza hujuma dhidi ya Msikiti wa Waislamu wa amdhehebu ya Shia huko Herat, Afghanistan na kuuawa waumini 30 waliokuwa katika Sala ya Ishaa Jumanne usiku.
Habari ID: 3471098   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/02

TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameushambulia na kuuharibu vibaya msikiti katika mji wa Manchester, Uingereza.
Habari ID: 3471072   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/18

TEHRAN (IQNA)-Mmoja kati ya misikiti ya kale zaidi nchini Kenya uko katika hatari ya kuangamia kutokana na ongezeko la mawimbi ya bahari.
Habari ID: 3471068   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/15

TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameuhujumu kwa mara nyingine msikiti katika jimbo la Tennessee nchini Marekani.
Habari ID: 3471061   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/11