iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Msikiti mkubwa zaidi katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, utafunguliwa tena Jumanne.
Habari ID: 3472819    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/31

TEHRAN (IQNA) – Maafisa wa kijasusi wa utawala haramu wa Israel Ijumaa walimkamata Imamu wa Msikiti wa Al Aqsa Sheikh Ekrima Sabri akiwa nyumbani kwake Quds (Jerusalem) Mashariki.
Habari ID: 3472814    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/29

TEHRAN (IQNA) - Wanjeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Wapalestina waliokuwa wamefika katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) kwa lengo la kushiriki katika Swala ya Idul Fitr.
Habari ID: 3472796    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/24

TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Al-Aqsa katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem) utafunguliwa kwa waumini baada ya siku kuu ya Idul Fitr.
Habari ID: 3472781    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/19

TEHRAN (IQNA) – Baada ya Mauritania kuondoa vizingiti vilivyokuwa vimewekwa ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19, misikiti imefunguliwa nchini humo.
Habari ID: 3472756    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/11

TEHRAN (IQNA)- Watu wasiojulikana wameushambulia kwa mawe msikiti katika mji wa Cologne nchini Ujerumani katika tukio la chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3472750    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/09

TEHRAN (IQNA) – Wanamgambo wa jenerali muasi Khalifa Haftar nchini Libya wameushambulia msikiti karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
Habari ID: 3472708    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/27

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Uturuki imepiga marufuku kwa muda sala za Ijumaa na jamaa katika misikiti nchini humo kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa hatari wa COVID-19 maarufu kama kirusi cha corona.
Habari ID: 3472572    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/16

TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Jamia wa Paris, Ufaransa umetangaza kusitishwa kwa muda sala ya Ijumaa katika msikiti huo kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama Corona.
Habari ID: 3472551    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/10

TEHRAN (IQNA) – Msikiti umeteketezwa moto Jumanne katika mtaa wa Ashok Vihar katika mji mkuu wa India, New Delhi huku maandamano ya kupinga sheria mpya ya uraia yakiendelea.
Habari ID: 3472507    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/26

TEHRAN (IQNA) - Msichana kutoka katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ametimiza ndoto yake ya kujenga msikiti katika nchi masikini.
Habari ID: 3472465    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/12

TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa kwanza kabisa katika historia ya Slovenia umefunguliwa Jumatatu katika mji mkuu, Ljubljana baada ya Waisalmu kuvuka vizingiti ya kifedha na upinzani wa watu wenye mismamo mikali ya mrengo wakulia.
Habari ID: 3472439    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/04

TEHRAN (IQNA) – Msikiti mkubwa zaidi katika eneo la Asia ya Kati uliojengwa katika mji mkuu wa Tajikistan, Dushanbe, utafungulwia rasmi mwezi ujao wa machi.
Habari ID: 3472437    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/03

TEHRAN (IQNA) – Mbunge katika chama tawala chenye misimamo mikali ya Kihindu cha Bharatiya Janata (BJP) nchini India ametishia kuwa, misikiti iliyojengwa katika 'ardhi ya serikali' katika mji wa New Delhi itabomolewa.
Habari ID: 3472386    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/19

TEHRAN (IQNA) – Miaka mine iliyopita, uliwekwa msingi wa Msikiti wa Abdülhamid II nchini Djibouti na sasa mradi huo umekamilika.
Habari ID: 3472238    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/28

TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Jamia katika mji wa Nairobi, Kenya umefungua milango yake kwa wasiokuwa Waislamu kuutembelea ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwaka wa 94 wa ujenzi wake.
Habari ID: 3472187    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/26

TEHRAN (IQNA) – Misikiti 44 kote Afrika Kusini itafungua milango wazi kwa umma mnamo Septemba 24 katika Siku ya Turathi, ambayo lengo lake ni kuleta maelewano ya kijamii na kuunda taifa lenye kuwajumuisha wote katika nchi hiyo.
Habari ID: 3472140    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/20

TEHRAN (IQNA) - Watu wanaoaminika kuwa wahalifu wazungu wa mrengo wa kulia wenye misimamo mikali ya kibaguzi wameuhujumu msikiti katika mji wa Brisbane, Australia.
Habari ID: 3472125    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/11

TEHRAN (IQNA) – Wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel wamebomoa msikiti wa Wapalestina katika mji wa al Khalil eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472111    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/03

TEHRAN (IQNA) – Mcheza soka mstaafu wa kulipwa barani Ulaya, Frederic Oumar Kanoute, mwenye asili ya Afrika anaongoza mkakati wa kujenga msikiti huko Sevilla nchini Uhispania.
Habari ID: 3472096    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/23