TEHRAN (IQNA) Magaidi wameuhujumu msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia mjini Kabul, Afghanistan na kuuawa waumini 30 waliokuwa katika Sala ya Ijumaa.
Habari ID: 3471142 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/26
TEHRAN (IQNA)-Bomu limelipuka katika mlango wa msikiti mjini Benghazi, Libya Ijumaa baada ya sala ya Alfajiri na kuwajeruhiwa watu saba.
Habari ID: 3471105 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/05
TEHRAN (IQNA)-Magaidi wametekelza hujuma dhidi ya Msikiti wa Waislamu wa amdhehebu ya Shia huko Herat, Afghanistan na kuuawa waumini 30 waliokuwa katika Sala ya Ishaa Jumanne usiku.
Habari ID: 3471098 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/02
TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameushambulia na kuuharibu vibaya msikiti katika mji wa Manchester, Uingereza.
Habari ID: 3471072 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/18
TEHRAN (IQNA)-Mmoja kati ya misikiti ya kale zaidi nchini Kenya uko katika hatari ya kuangamia kutokana na ongezeko la mawimbi ya bahari.
Habari ID: 3471068 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/15
TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameuhujumu kwa mara nyingine msikiti katika jimbo la Tennessee nchini Marekani.
Habari ID: 3471061 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/11
TEHRAN (IQNA)- Waislamu 8 wamejeruhiwa baada ya kufyatuliwa risasi na magaidi mbele ya mlango wa msikiti kusini mwa Ufaransa.
Habari ID: 3471050 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/04
TEHRAN (IQNA)-Mwislamu ameuawa Jumatatu usiku baada ya gaidi kuhujumu Msikiti mjini London Uingereza huku Waislamu wakikosoa vyombo vya habari na serikali kwa ubaguzi baada ya tukio.
Habari ID: 3471026 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/19
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Kenya wameandamana kulaani mpango wa wakuu wa mji wa Nairobi kubomoa msikiti moja mjini humo kwa ajili ya ujenzi wa barabara.
Habari ID: 3470925 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/09
TEHRAN (IQNA)-Magaidi wakufurishaji wa Taliban wamekiri kutekeleza hujuma iliyolenga msikiti nchini Pakistan na kuua watu 24 na wengine zaidi ya 90 kujeruhiwa.
Habari ID: 3470914 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/31
IQNA-Msikiti erevu (smart mosque) unatazamiwa kuzinduliwa kwa mara ya kwanza katika Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.
Habari ID: 3470896 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/15
IQNA-Moto umeteketeza Msikiti na Kituo Kiislamu cha Ypsilanti mjini Pittsfield, jimboni Michigan nchini Markeani
Habari ID: 3470893 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/13
IQNA-Imamu wa msikiti mmoja katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad amepigwa risasi na kuuawa magharibi mwa mji huo.
Habari ID: 3470877 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/03
IQNA: Gaidi Mkristo aliyewaua Waislamu sita katika msikiti mmoja nchini Canada amebainika kuwa mfuasi wa Rais Donald Trump wa Marekani.
Habari ID: 3470827 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/01
IQNA-Waislamu sita wameuawa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti mmoja katika mji wa Quebec nchini Canada.
Habari ID: 3470823 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/31
IQNA: Chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu zinaendelea kushika kasi Marekani huku msikiti mwingine ukiteketezwa moto katika katika jimbo la Texas.
Habari ID: 3470820 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/29
IQNA: Msikiti wa Kizimkazi ni kati ya misikiti mikongwe zaidi Afrika Mashariki na uko visiwani Zanzibar na ulijengwa na Wairani mwaka 500 Hijria Qamaria sawa na mwaka 1107 Miladia.
Habari ID: 3470725 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/08
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO limepitisha azimio na kusema Msikiti wa Al Aqsa ni milki ya Waislamu kwamba Mayahudi hawana haki katika msikiti huo.
Habari ID: 3470611 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/14
Kauli mbiu ya Siku ya Misikiti Duniani
Kauli mbiu ya Siku ya Kimataifa ya Misikiti mwaka hii imetajwa kuwa ni ‘Misikiti, Mhimili wa Umoja wa Ummah wa Kiislamu.
Habari ID: 3470532 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/19
Mshukiwa mmoja amefikishwa mahakamani Marekani baada ya kubainika kuwa alimpiga risasi na kumua Imamu wa msikiti na Mwislamu aliyekuwa naye huko mjini New York huku Waislamu wakitaka uadilifu na haki.
Habari ID: 3470526 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/17