iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Saudi Arabia imewaruhusu raia na wakaazi wa ufalme huo kuswali swala za jamaa za kila siku katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Al Masjid Al Haram ).
Habari ID: 3473273    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/18

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Ekrima Sa'id Sabri, Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu katika mji wa Quds (Jerusalem) na khatibu katika Msikiti wa Al Aqsa mjini humo ametahadharisha kuhusu njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kutaka kutwaa sehemu ya msikiti huo ambao ni qibla cha kwanza cha Waislamu.
Habari ID: 3473249    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/11

TEHRAN (IQNA) – Misikiti zaidi Malaysia imejiunga na ‘Mpango wa Msikiti wa Kijani’ unaohusu kuzuia kulinda mazingira katika matumizi ya maji na umeme.
Habari ID: 3473211    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/28

Msikiti wa Ar-Rahma, ambao pia unajulikana kama Msikiti wa Fatima Zahra (SA) ulijengwa mwaka 1985 katika mji wa Jeddah, Saudi Arabia.
Habari ID: 3473209    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/28

TEHRAN (IQNAQ)- Waislamu nchini Ujerumani watawakaribisha wasiokuwa Waislamu katika misikiti mnamo Oktoba 3 katika siku hii ambayo kila mwaka inajulikana kama ‘Siku ya Msikiti Wazi.’
Habari ID: 3473202    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/25

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa New Zealand amezindua jiwe la ukumbusho katika Msikiti wa Al Noor mjini Christchurch kuwakumbuka Waislamu waliouawa katika hujuma ya kigaidi msikiti ni hapo mwaka jana.
Habari ID: 3473200    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/24

TEHRAN (IQNA)- Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada, wakisaidiwa na polisi ya utawala wa Israel, wameuuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3473187    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/20

TEHRAN (IQNA)- Baada ya miaka kadhaa ya vuta nikuvute, msikiti wa kwanza rasmi katika mji mkuu wa Ugiriki, Athens utafunguliwa rasmi mwezi ujao wa Oktoba.
Habari ID: 3473181    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/18

TEHRAN (IQNA)- Waumini wasiopungua 17 wamepoteza maisha katika ajali ya mripuko wa bomba la gesi katika msikiti nchini Bangladesh.
Habari ID: 3473141    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/05

TEHRAN (IQNA) –Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Dyanet) imepongeza hukumu ya maisha jela iliyotolewa dhidi ya gaidi Muaustralia ambaye alihusika katika mauaji ya Waislamu nchini New Zealand.
Habari ID: 3473112    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/28

TEHRAN (IQNA) –Mahakama nchini New Zealand imemhukumu kifungo cha maisha jela gaidi Brenton Tarrant baada ya kupatikana na hatia ya kuwaua Waislamu 51 wakati wa swala ya Ijumaa mwezi Machi mwaka jana katika mji wa Christchurch.
Habari ID: 3473108    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/27

TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa kihistoria uliojengwa miaka 139 iliyopita umeteketea moto katika mji wa Durban, Afrika Kusini.
Habari ID: 3473104    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/26

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Jamia wa Algiers, ni msikiti mkubwa zaidi barani Afrika na utafunguliwa Novemba.
Habari ID: 3473090    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/22

TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa Jamia katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi umefunguliwa baada kufungwa kwa miezi mitano kufuatia kuibuka janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473087    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/20

TEHRAN (IQNA) – Raia wa Ujerumani ambaye hivi karibuni alisilimu, alifanya sherehe yake ya harusu katika Siku Kuu ya Idd Ghadir katika Msikiti wa Nasir-ul-Mulk.
Habari ID: 3473055    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/11

TEHRAN (IQNA) – Mwanaharakati maarufu wa kupigania ukombozi wa Palestina ametahadharisha kuhusu njama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3473052    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/10

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Uturuki leo wameshiriki katika Swala ya kwanza ya Idul Adha katika Msikiti wa Hagia Sophia mjini Istanbul.
Habari ID: 3473018    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/31

TEHRAN (IQNA) - Vijana wa Kipalestina wamekabiliana na walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakifanya juhudi za kuvamia na kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa.
Habari ID: 3473017    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/31

TEHRAN (IQNA) – Baada ya msikiti wa Hagia Sophia kufunguliwa mjini Istanbul, Uturuki, idadi kubwa ya watalii wa kigeni na wa ndani ya nchi wamefika katika msikiti huo.
Habari ID: 3473015    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/30

TEHRAN (IQNA) – Polisi nchini Uingereza wanafanya uchunguzi baada ya msikiti kuhujumiwa nchini Uingereza katika mji wa Norwich.
Habari ID: 3473004    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/27