TEHRAN (IQNA)- Baada ya miaka kadhaa ya vuta nikuvute, msikiti wa kwanza rasmi katika mji mkuu wa Ugiriki, Athens utafunguliwa rasmi mwezi ujao wa Oktoba.
Habari ID: 3473181 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/18
TEHRAN (IQNA)- Waumini wasiopungua 17 wamepoteza maisha katika ajali ya mripuko wa bomba la gesi katika msikiti nchini Bangladesh.
Habari ID: 3473141 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/05
TEHRAN (IQNA) –Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Dyanet) imepongeza hukumu ya maisha jela iliyotolewa dhidi ya gaidi Muaustralia ambaye alihusika katika mauaji ya Waislamu nchini New Zealand.
Habari ID: 3473112 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/28
TEHRAN (IQNA) –Mahakama nchini New Zealand imemhukumu kifungo cha maisha jela gaidi Brenton Tarrant baada ya kupatikana na hatia ya kuwaua Waislamu 51 wakati wa swala ya Ijumaa mwezi Machi mwaka jana katika mji wa Christchurch.
Habari ID: 3473108 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/27
TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa kihistoria uliojengwa miaka 139 iliyopita umeteketea moto katika mji wa Durban, Afrika Kusini.
Habari ID: 3473104 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/26
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Jamia wa Algiers, ni msikiti mkubwa zaidi barani Afrika na utafunguliwa Novemba.
Habari ID: 3473090 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/22
TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa Jamia katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi umefunguliwa baada kufungwa kwa miezi mitano kufuatia kuibuka janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473087 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/20
TEHRAN (IQNA) – Raia wa Ujerumani ambaye hivi karibuni alisilimu, alifanya sherehe yake ya harusu katika Siku Kuu ya Idd Ghadir katika Msikiti wa Nasir-ul-Mulk.
Habari ID: 3473055 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/11
TEHRAN (IQNA) – Mwanaharakati maarufu wa kupigania ukombozi wa Palestina ametahadharisha kuhusu njama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3473052 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/10
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Uturuki leo wameshiriki katika Swala ya kwanza ya Idul Adha katika Msikiti wa Hagia Sophia mjini Istanbul.
Habari ID: 3473018 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/31
TEHRAN (IQNA) - Vijana wa Kipalestina wamekabiliana na walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakifanya juhudi za kuvamia na kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa.
Habari ID: 3473017 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/31
TEHRAN (IQNA) – Baada ya msikiti wa Hagia Sophia kufunguliwa mjini Istanbul, Uturuki, idadi kubwa ya watalii wa kigeni na wa ndani ya nchi wamefika katika msikiti huo.
Habari ID: 3473015 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/30
TEHRAN (IQNA) – Polisi nchini Uingereza wanafanya uchunguzi baada ya msikiti kuhujumiwa nchini Uingereza katika mji wa Norwich.
Habari ID: 3473004 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/27
Swala ya kwanza ya Ijumaa imeswaliwa katika Msikiti wa Hagia Sophia, Istanbul Uturuki baada ya zaidi ya miaka 86 ambapo maelfu ya waumini wameshiriki katika swala hiyo mnamo Julai 24, 2020
Habari ID: 3472996 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/25
TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa Saudia wamesema Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al-Masjid Al-Ḥaram, hautafunguliwa wakati wa Swala wa Idul Adha mwaka huu kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472991 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/23
TEHRAN (IQNA) – Waislamu kote Scotland nchini Uingereza wameshiriki katika Swala ya Ijumaa wameshiriki katika Swala ya Ijumaa kwa mara ya kwanza baada ya miezi kadhaa baada ya misikiti kufunguwa ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3472975 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/18
TEHRAN (IQNA) – Kuwait imesema inapanga kuruhusu tena Swala za Ijumaa wiki hii, vyombo vya habari nchini humo vimeripoti.
Habari ID: 3472965 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/15
Mahakama ya Kilele Uturuki
TEHRAN (IQNA) - Mahakama ya juu zaidi nchini Uturuki imefungua njia ya jumba la zamani la Hagia Sophia kugeuzwa kuwa msikiti na kubadilisha hadhi yake ya sasa kama jumba la makumbusho.
Habari ID: 3472949 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/11
TEHRAN (IQNA) - Kundi la Taliban limetoa taarifa na kusema hujuma dhidi ya misikiti nchini Afghanistan zinatekelezwa na mashirika ya kijasusi ya maadui.
Habari ID: 3472861 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/13
TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya asilimia 73 ya watu wa Uturuki wanataka Jumba la Makumbusho la Hagia Sophia mjini Istanbul lirejee katika hadhi yake ya msikiti .
Habari ID: 3472859 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/12