IQNA – Qari mashuhuri wa Iran, Hamed Shakernejad , amesisitiza umuhimu wa diplomasia ya Qur'ani, akiiita daraja kati ya mataifa.
Habari ID: 3480389 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/17
IQNA – Balozi wa Iran nchini Indonesia amesisitiza shauku ya Jamhuri ya Kiislamu ya kupanua ushirikiano wa Qur’ani na nchi hiyo ya Kusini-Mashariki mwa Asia.
Habari ID: 3480381 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/16
IQNA – Mwambata wa kitamaduni wa Iran, Mohammadreza Ebrahimi, amesema kwamba mikusanyiko ya Qur'ani iliyopangwa kufanyika Indonesia kwa kushirikisha maqari wa Iran inalenga kuimarisha umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3480375 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/15
IQNA – Maqari maarufu wa Qur'ani kutoka Iran, Hamed Shakernejad na Ahmad Abolqassemi, wanatarajiwa kushiriki katika moja ya vikao vikubwa zaidi vya Qur'ani Tukufu katika Msikiti mashuhuri wa Istiqlal, Indonesia.
Habari ID: 3480370 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/14
IQNA – Qari mashuhuri wa Iran, Ustadh Hamed Shakernejad , alisoma aya za 144-148 za Surah Al-Imran mwanzoni mwa mkutano wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei na wakuu na maafisa waandamizi wa Mihimili ya Dola tarehe 8 Machi 2025 jijini Tehran.
Habari ID: 3480346 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/10
IQNA – Qari na hafidh maarufu wa Qur’ani Tukufu kutoka Iran, Ustadh Hamed Shakernejad , ametajwa kuwa balozi wa kimataifa wa Qur’an wa Iran.
Habari ID: 3480323 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/07
Umoja wa Kiislamu
IQNA: Tukio hilo lililopewa jina la "Katika Mapenzi ya Mtume," lilifanyika usiku wa kuamkia Ijumaa katika Uwanja wa Mtume Muhammad (SAW) ulio katika Haram ya Imam Ridha (AS) kuashiria kuanza kwa Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3479425 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/13
BOJNOURD (IQNA) - Hamid Shakernejad , qari mashuhuri wa Iran, alikuwa msomaji wa heshima katika siku ya kwanza ya duru ya mwisho ya Mashindano ya 46 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3477978 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/02
TEHRAN (IQNA) – Visomo vya Aya za Surah Al-Balad vya maqarii wawili wa Iraqi na wengine wawili kutoka Iran na Misri vimeunganishwa hivi karibuni kwenye klipu.
Habari ID: 3477056 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/28
TEHRAN (IQNA) –Qarii maarufu wa Qur'ani Tukufu kutoka Iran Ustadh Hamed Shakernejad alitembelea Ujerumani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka 2019.
Habari ID: 3473923 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/18